Raheem Sterling(20) anategemea kumwambia manager wa Liverpool
Brendan Rogers kwamba anataka kuondoka Anfield. Forward huyu
ameshakataa mkataba wa £100,000 kwa wiki. Lakini bado Liverpool
wana mkataba nae hadi 2017. Manchester city wapo mbele kumpata
mchezaji huyu.
Tuesday, 19 May 2015
Raheem Sterling agoma kusaini mkataba Liverpool,Man City yamtengea dau nono.
Related Posts:
Falcao rasmi Manchester United.Radamel Falcao hatimaye amekamilisha uhamisho wa mkopo wa mwaka mmoja uliogharimu £12ml,Kutoka AS Monaco. Imeripotiwa kwamba Manchester United wamemchukua kwa mkopo msimu huu lakini watamnunua moja kwa moja msimu ujao kw… Read More
BantuTz MAGAZINE-Soma kilichoandikwa katika Magazeti ya Tanzania leo Novemba 17 . BantuTz MAGAZETINI-Ni uratatibu ambao BantuTz imeuanzisha ili kuwawezesha wadau wote wa Bantu waweze kusoma na kupitia kurasa za magazeti mbalimbali nchini kila siku asubuhi ili kuwasogezea karibu zaidi huduma kup… Read More
Cleverley ajiunga Aston Villa kwa mkopo. Aston Villa wamemsajili kiungo wa Manchester United Tom Cleverley kwa mkopo hadi mwisho wa msimu. Hata hivyo, inafahamika kwamba United wana kigezo cha kumchukua tena mwezi Januari, au Villa ikamilishe uhamisho wake moja kwa… Read More
"Akili ya Wenger inavyokwenda tofauti na akili ya mashabiki." Hivi ndivyo maamuzi, akili, moyo na msimamo wa mzee Wenger unavyokwenda kinyume na matarajio ya mashabiki wengi. Baada ya tetesi nyingi kuhusu usajili huku Radamel Falcao na Edison Cavan wakiwa kwenye orodha yake,hatimaye Ar… Read More
BantuTz SPORTS:Usajili kamili uliofanyika Kabla dirisha halijafungwa.PREMIER LEAGUE Radamel Falcao - Monaco to Manchester United (season-long loan) Michael Keane - Manchester United to Burnley (loan until January)Nick Powell - Manchester United to Leicester (season-long loan) Danny Welbeck - M… Read More
0 comments:
Post a Comment