Dr Mwakyembe Akiwa njiani kwenda Congo Kufungua Kituo cha Bandari ya
Tanzania ambacho kitasaidia Malipo kwa Wafanya Biashara wa Wanaopitishia
Mizigo ya Bandari ya Dar es salaam aliweza kuona hali halisi waliyonayo
Madereva wa Magari Makubwa ya Mizigo Kutoka Tanzania kwenda nchi
zingine, Amehabarisha kuwa Madereva wa Tanzania ni wachafu na wananjaa
Sana Kiasi wanatembea na Masufuria na vikombe kwenye Malori yao kwa vile
hawana uwezo wa Kununua chakula Mahotelini wakiwa njiani ni Bora wafike
mahali Wapike...Amesema hii inatia Aibu Taifa kwani ukikutana na Malori
Mengine kutoka nchi zingine ni wasafi na wanaonekana Wamewezeshwa vya
kutosha, amesema Madereva wa Tanzania Wamesema wanapewa Hela kidogo ya
Kujikimu njiani , Boss anakupa laki tatu hiyo uitumie mwezi mzima ukiwa njiani ni haki Kweli ? Mwakyembe amehaidi kulishughulikia hilo swala
Wednesday, 7 May 2014
Dr Mwakyembe"Madereva wa Malori ya Kwenda Nje ya Nchi Wanatutia Aibu wa Tanzania"
Related Posts:
Ajali mbaya yatokea Iringa,Abiria 38 wajeruhiwa....... Taxi ambayo nayo ilisababishiwa ajari ikiwa katika eneo la tukio, huku askari polisi wakilinda usalama wa mali za abiria na baadhi ya vitu katika eneo la tukio.(P.T). Daladala aina ya Coster yenye namba za usaj… Read More
Jaji Warioba atoa ya Moyoni dhidi ya Uongo na Matusi Bunge la Katiba........ Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Joseph Warioba amesema baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wametumia vibaya Bunge hilo kwa kumshambulia na kumsingizia mambo ya uongo kwa makusudi, akisema matusi yanayot… Read More
Kanisa katoliki kutangaza watakatifu leo huko Vatican..... Kanisa katoliki leo linategemea kuwatangaza watakatifu ambao huandikwa katika kitabu cha maisha ya watakatifu,Papa John Paul II na John XXIII wanatarajiwa kutangazwa watakatifu katika tukio litakaloongozwa na kion… Read More
Basi la RATCO lapata ajali mbaya huko kibaha,Pwani........... Ilikuwa ni purukushani wakati ambapo kila abiria akijaribu kujikwamua na kutoka nje ya basi hilo Basi la kampuni la RATCO linalofanya safari zake Dar-Tanga limepata ajali baada ya ktumbukia mtaroni m… Read More
Kama ulikosa matukio ya kuadhimisha miaka 50 ya sherehe za muungano....angalia hapa..... Komandoo wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), akiwa ameruka kwa miguu yote hewani na kuvunja mbao zilizokuwa zimeshikwa na wenzake wakati wa maonyesho ya kijeshi ya Maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano kwenye Uw… Read More
0 comments:
Post a Comment