Facebook

Monday, 5 May 2014

Hakunaga kama Luis Suarez !!!!!!


Wiki mbili baada ya kutangazwa kuwa mchezaji bora wa ligi kuu ya England kupitia chama cha wanasoka wanaocheza EPL mshambuliaji wa kimataifa wa Uruguay Luis Suarez ambae ni miongoni mwa mastaa wa soka waliowahi kumiliki headlines kwa kipindi kirefu, amechaguliwa tena kuwa mwanasoka bora wa England na chama cha waandishi wa habari za michezo Uingereza.
Suarez mwenye umri wa miaka 27 aliwashinda kwa kura nyingi wachezaji wengine akiwemo nahodha wa Liverpool na England Steven Gerrard.
article-2620532-1D69BE9B00000578-539_306x423 
Magoli 30 aliyofunga msimu huu kwenye EPL yameiweka Liverpool kwenye nafasi ya kutwaa ubingwa wa Premier League baada ya miaka 24.
Hii ndio listi ya washindi wa tuzo hiyo tangu mwaka 1990 mpaka leo
1989–90     John Barnes          
1990–91     Gordon Strachan
1991–92     Gary Lineker
1992–93     Chris Waddle
1993–94     Alan Shearer
1994–95     Jurgen Klinsmann
1995–96     Eric Cantona
1996–97     Gianfranco Zola
1997–98     Dennis Bergkamp
1998–99     David Ginola
1999–00     Roy Keane
2000–01     Teddy Sheringham
2001–02     Robert Pires
2002–03     Thierry Henry
2003–04     Thierry Henry
2004–05     Frank Lampard
2005–06     Thierry Henry
2006–07     Cristiano Ronaldo
2007–08     Cristiano Ronaldo
2008–09     Steven Gerrard
2009–10     Wayne Rooney
2010–11     Scott Parker
2011–12     Robin van Persie
2012–13     Gareth Bale

Related Posts:

  • IBRAHIMOVIC AFUNGIWA MECHI NNEMshambuliaji wa Paris Saint-Germain, Zlatan Ibrahimovic amefungiwa kucheza mechi nne za ligi kuu ya Ufaransa baada ya kunaswa na picha za televisheni akitukana. Mchezaji huyo wa kimataifa kutoka Sweden alikasirika na kuwashut… Read More
  • IFAHAMU HISTORIA YA KLABU YA ARSENAL FC.Mwanzo hadi Vita ya Kwanza ya Dunia Maisha ya klabu ya soka ya Arsenal yalianza pale kikundi cha wafanyakazi katika kiwanda cha kuzalisha zana za kivita cha Woolwich walipoamua kuunda klabu ya soka mwishoni mwa mwaka 1886. Kl… Read More
  • COPA ITALIA : JUVE WAINYUKA FIORENTINA 3-0, HAO FAINALI !!Wakicheza Ugenini bila ya Nyota wao bora, Andrea Pirlo , Paul Pogba na Carlos Tevez, Juventus , chini ya Kocha Massimiliano Allegri, Usiku huu wameipindua kipigo cha mechi ya kwanza na kuichapa Fiorentina 3-0 na kutinga Faina… Read More
  • HUU NDIO UZI MPYA WA LIVERPOOL FCRaheem Sterling ambaye wiki iliyopita alikataa mkataba wa kulipwa mshahara wa pauni 100,000 kwa wiki Liverpool- anaonekana hapa na wachezaji wenzake Martin Skirtel, Simon Mignolet na Daniel Sturridge, wakionesha jezi mpya wat… Read More
  • KARIBU KATIKA MKATE WA PASAKA,NIKIBURUDIKA NA LIGI KUU UINGEREZA.Jana baada ya kuona Majina ya wachezaji katika mechi ya Arsenal na Liverpool niliona vitu viwili kwa haraka haraka, kwanza ni makocha kuwapanga watu wawili wenye bahati nzuri na timu zao msimu huu!!, Kwa Arsenal alikuwepo Oz… Read More

0 comments:

Post a Comment