
Askari wa Usalama barabarani eneo la Makumbusho, Dar wakimpiga Dereva wa
gari ambaye amejitambulisha kama mwanajeshi! Tukio hili limetokea mida
ya saa 9 mchana huu. Bado haieleweki chanzo ni nini.
Je, unadhani hivi ndivyo askari wetu wanatakiwa kutekeleza majukumu yao?
0 comments:
Post a Comment