Wednesday, 7 May 2014
Picha: Majeruhi wa Bomu Mwanza Akiwa Hospitalini Hoi Akipata Matibabu
Mmoja wa majeruhi wa kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu la kutengenezwa ‘kienyeji’ ambao ulilipuka katika vyumba vya Hosteli za Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (K.K.K.T), mtaa wa Gana jana usiku.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, Valentino Mlowola, amesema mlipuko unaodaiwa kutokea jana, ulitokana na kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu la kutengenezwa ‘kienyeji’ ambao ulilipuka katika vyumba vya Hosteli za Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (K.K.K.T), mtaa wa Gana
Amesema tukio hilo limetokea jana Jumatatu Mei 5, 2014 saa mbili usiku, na kujeruhi mtu mmoja ambaye hadi sasa anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa Bugando iliyopo jijini humo.
Taarifa za awali kuhusu tukio hilo, zinaonyesha kuna watu/mtu ambao waliweka bomu hilo katika hosteli hizo na kupelekea tukio hilo, ambapo hadi sasa Jeshi hilo linaendelea na upelelezi na hakuna mtu yeyote anayeshikiliwa kuhusiana na tukio hilo
Related Posts:
Gazeti la The Citizen lapewa masaa 48 kuomba radhi Profesa Hassan Bical Mshauri katika Bodi ya Chuo akionesha baadhi ya Nakala ya Gazeti la Citezens lilivyoandika habari zisizo za ukweli, kushoto ni Nabeel Almandhy. Waandishi wa habari na Mhariri wa gazeti la … Read More
Kikwete: Waziri Kawambwa mzima, amezushiwa mabaya Baada ya Waziri wa Elimu na Mafunzo, Dr Shukuru Kawambwa, kuzushiwa kifo imeelezwa na ndugu zake kuwa ni mzima wa afya na anatumikia taifa. Mapema Jumanne uliibuka uvumi kupitia baadhi ya mitandao kwamba Waziri… Read More
Majambazi yaua mtumishi na kujeruhi Ubungo. Alikuwa anapeleka pesa bank alikuwa kwenye gari dogo aina ya Corolla . Walipofika maeneo ya msikitini ndipo wakavamiwa na hao watu wawili waliokuwa kwenye pikipiki wakapiga risasi kwa nyuma ya gari ikampata sister … Read More
Ada vyuo vya ualimu yapanda maradufu Serikali imepandisha maradufu ada kwa wanafunzi wanaosomea ualimu kwenye vyuo vya ualimu nchini kuanzia muhula ujao wa masomo. Ada hizo kwa wale wa ngazi za cheti na stashahada ambazo zimeongezwa kwa karibu mara … Read More
Coco Beach-Marufuku kufanya biashara na kuegesha magari Tangazo la kuwazuia watu wanaofanya biashara na kuegesha magari kwenye eneo la Coco Beach. Halmashauri ya manispaa ya Ilala imetoa tangazo linaloagizo kukataza watu kufanya biashara na kuegesha magari katika eneo l… Read More
0 comments:
Post a Comment