Friday, 2 May 2014
Unakijua alichokisema Wolper kuhusiana na sakata la serikali mbili au tatu ????......
MWIGIZAJI staa Bongo, Jacqueline Wolper ameifungukia rasimu ya katiba mpya ambayo ipo bungeni kujadiliwa kwa sasa akisema yeye matakwa yake ni kuwepo kwa serikali mbili na si tatu wala ya mkataba.
Wolper alisema anaamini serikali ya tatu itakuwa mzigo kwa wananchi ambao ndiyo walipa kodi.
“Serikali mbili ndiyo mpango mzima, ya tatu ni mzigo, ya mkataba sioni maana yake. Halafu nataka muungano udumu, pia nitafurahi sana kama Ukawa watarudi bungeni litakapoanza tena Agosti mwaka huu,” alisema Wolper.
Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com uweze kufahamu kauli mbalimbali za mastaa kuhusiana na mustakabath mzima na mchakato wa katiba mpya...
Related Posts:
Lady Jay Dee afunguka baada ya kuzushiwa kutoka na "Serengeti Boy"Baada ya kuzushiwa kutoka kimapenzi na kijana mdogo "serengeti boys" na gazeti moja kubwa nchini linaloongoza kwa udaku,Lady Jay Dee kupitia ukurasa wake wa Facebook akanusha taarifa hizo. Akiwa katika hali ya kusononesha san… Read More
Diamond avamiwa wakati akiwa jukwaani Ujeruman.Usiku wa Jumamosi Agosti 30, 2014, majira ya saa 10 alfajiri, mwanamuziki nyota wa Bongo Flavor, Nasib. Abdul maarufu kama Diamond Platnumz alijikuta katika hali ya hatari hadi kuokolewa na Polisi mjini Stuttgart,… Read More
Angelina Jolie na Brad Pitt wafunga ndoa. Wacheza filamu maarufu wa Marekani, Angelina Jolie na Brad Pitt wamefunga ndoa. Sherehe ndogo ya faragha iliyofanyika nchini Ufaransa,imemaliza miaka na mikaka ya tetesi za vyombo vya habari, ikiwa watafunga ndoa au la… Read More
Diamond atajwa kuwania tuzo za kimataifa. Muimbaji wa Tanzania, Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz ametajwa kuwania tuzo za reggae za kimataifa na muziki wa dunia 2014 (International Reggae and World Music Awards (IRAWMA). Diamond ametajwa kuwania kipengele cha Best … Read More
Mrembo akataa kurejesha taji lake la u-miss Mya Myat anataka aombwe msamaha na waandalizi wa shindano la taji hilo Mshindi wa taji la urembo nchini Burma aliyenyang'anywa taji lake wiki iliopita ,amekataa kurudisha taji hilo kwa waandalizi wa mashindano hayo… Read More
0 comments:
Post a Comment