Facebook

  • Tutorial 1

    This is Trial

  • Tutorial 2

    This is slide 2 description. Go to Edit HTML and replace these sentences with your own words. This is a Blogger template by Lasantha - PremiumBloggerTemplates.com...

  • Tutorial 3

    This is slide 3 description. Go to Edit HTML and replace these sentences with your own words. This is a Blogger template by Lasantha - PremiumBloggerTemplates.com...

Sunday, 31 August 2014

Hatimaye Shinji kagawa arejea Dortmund.

Kiungo mshambuliaji Shinji Kagawa aliyenunuliwa na Manchester United kutoka Borrusia Dortmund miaka miwili iliyopita,hatimaye leo hii amerejea kunako klabu yake hiyo ya zamani. Shinji kagawa amesaini mkataba wa miaka minne na klabu hiyo baada ya kushindwa kuwika katika misimu yake miwili aliyokuwa Manchester...

ARSENAL YAJITOA KUMUWANIA REMY

Klabu ya Arsenal imejitoa ghafla katika mbio za kuifukuzia saini ya mshambuliaji wa QPR Mfaransa Loic Remy masaa machache baada ya kudaiwa kuwa imerudi kumuwania tena siku ya jana. Sasa milango iko wazi kwa nyota huyo kutua Chelsea baada ya klabu hiyo kufikia kifungu cha bei iliyowekwa na klabu yake...

Daley Blind atua Manchester United

Hizi ni baadha picha za mchezaji mpya wa Manchester United aliyesajiliwa kutoka Ajax Amsterdam kwa ada ya uhamisho wa Paundi milioni 14. Anatarajiwa kumaliza taratibu za kujiunga na klabu hiyo ndani ya masaa 12 yajayo. ...

Lady Jay Dee afunguka baada ya kuzushiwa kutoka na "Serengeti Boy"

Baada ya kuzushiwa kutoka kimapenzi na kijana mdogo "serengeti boys" na gazeti moja kubwa nchini linaloongoza kwa udaku,Lady Jay Dee kupitia ukurasa wake wa Facebook akanusha taarifa hizo. Akiwa katika hali ya kusononesha sana na kuhuzunishwa na baadhi ya vyombo vya habari nchini vinavyofanya kila njia...

Tetesi za Usajili katika magazeti mbalimbali barani Ulaya na BantuTz SPORTS.

Arsenal huenda wanakaribia kumsajili Alessio Cerci, 27, kutoka Torino baada ya mchezaji huyo kuachwa katika kikosi kitakachocheza na Inter Milan Jumapili (Daily Star), Arsenal wanakaribia kumsajili kiungo wa Southampton Morgan Schneiderlin, 24, baada ya kukubali kutoa pauni milioni 24 (CaughtOffSide),...

HAYA NDO MAPYA YALIYOBUKA OLD TRAFORD KUHUSU ROJO

Mlinzi Marcos Rojo aliyesajiliwa Manchester United kutoka Sporting Lisbon ya Ureno anakabiliwa na shauri la jinai kwao Argentina, na ndilo linamzuia kuanza kuchezea timu yake mpya. Hadi Jumapili hii asubuhi alikuwa hajapatiwa visa ya kumwezesha kufanya kazi nchini, kutokana na madai kwamba ana kesi...

Tambwe afungua akaunti ya magoli.

Mfungaji bora wa Ligi Kuu Bara msimu uliopita, Khamisi Tambwe ameanza kuonyesha makali baada ya kupiga bao mbili katika mechi ya jana usiku Simba ilipoiadhibu KMKM ya Zanzibar kwa mabao 5-0. Tambwe raia wa Burundi alipiga bao mbili na kuiwezesha Simba kuongoza kwa mabao 4-0 hadi mapumziko kwenye Uwanja...

Saturday, 30 August 2014

Gerrard akabidhiwa jukumu la "kumfunda" Balloteli.

Gerrard amepewa jukumu la kumuongoza kimaadili Mario Balotelli kiwanjani na suala la ndani ya klabu litakua juu ya Brendan Rodgers huku Balotelli mwenyewe akiambiwa ajiangalie nje ya klabu kimatendo na kimaadili, kutokufanya jambo lolote litakalomchafua ama kuchafua klabu. ...

Manchester United yamsajili Daley Blind

Manchester United wamekubaliana na Ajax kumsajili mchezaji Daley Blind kwa thamani ya pauni milion14.2, kwa mkataba wa miaka 4 na uwezekano wa kumuongezea mwaka wa 5 kama mambo yakienda sawa,pia Manchester United imekubaliana na Ajax kuwa endapo Man United itataka kumuuza Daley Blind basi baadhi ya...

Diamond atajwa kuwania tuzo za kimataifa.

Muimbaji wa Tanzania, Naseeb Abdul aka Diamond Platnumz ametajwa kuwania tuzo za reggae za kimataifa na muziki wa dunia 2014 (International Reggae and World Music Awards (IRAWMA). Diamond ametajwa kuwania kipengele cha Best African Song/Entertainer na wimbo wake ‘Mdogo Mdogo’. Kwenye kipengele hicho,...

"El Nino" ajiunga AC Milan.

Fernando Torres ameondoka Stamford Bridge na kuhamia San Siro. Straika huyo atakua AC Milan kuziba pengo la Mario Balotelli baada ya mu-Italiano huyo kujiunga na Liverpool kwa ada ya £16m. Torres na Chelsea wamwfikia makubaliano hayo ya kukatisha mkataba wao wa miaka 5 na nusu, baada ya straika huyo...

Friday, 29 August 2014

Di Maria afanya mazoezi na wachezaji wenzake kwa mara ya kwanza Manchester United

Mchezaji mpya aliyesajiliwa kwa pesa iliyovunja rekodi katika soko la usajili Ligi Kuu ya Uingereza.Angel Di Maria,kwa mara ya kwanza ameanza kufanya mazoezi na wachezaji wenzake huko Carrington AON Training Complex Baada ya kusajiliwa kutoka Real Madrid,kwa kitita cha Paundi milion 59.7 Angel Di Maria...

Ratiba ya Ligi kuu Uingereza Mwisho wa Juma hili.

RATIBA | England - Premier League Kesho Jumamosi 14:45 Burnley vs Manchester United 17:00 Manchester City vs Stoke City 17:00 Newcastle United vs Crystal Palace 17:00 Queens Park Rangers vs Sunderland 17:00 Swansea City vs West Bromwich Albion 17:00 West Ham United vs Southampton 19:30 Everton vs Chelsea Jumapili 15:30...

Tetesi za Usajili katika magazeti mbalimbali Barani Ulaya na BantuTz SPORTS

Real Madrid wamekamilisha uhamisho wa pauni milioni 20 wa Radamel Falcao, 28, kutoka Monaco (Calciomercato), Arsenal wana matumaini ya kukamilisha uhamisho wa beki Sorkatis Papastathopoulos, 26, kutoka Borussia Dortmund, lakini wamesema hawatalipa pauni milioni 20 (Daily Mirror), Meneja wa Aston Villa...

Damu yazidi kumwagika katika eneo la Mlima Mbalizi huko Mbeya.

Watu kumi wamefariki papo hapo na wengine saba kujeruhiwa  vibaya baada ya Gari toyota Hiace waliyokua wakisafiria kugongana uso kwa uso na Fuso katika eneo la Mbalizi jijini Mbeya. Eneo hili limekua kitovu cha ajali mbali mbali kwa mda wa Miongo kadhaa sasa kwani katika Mwezi huu pekee zimeshatokea...

MGANGA KUFIKISHWA KIZIMBANI KISA KUPATA MALI KWA NJIA YA UDANGANYIFU NA KUMUINGILIA KIMWILI MTEJA WAKE.

Mganga wa kienyeji Michael Yahya(34) anashitakiwa na  Mwanahamisi Omary kwa kosa la kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu na kumuingilia kimwili mwana mama hyo. >Mwanahamis 26, ambaye ni mke wa mtu  alikua akisumbuliwa na tumbo la uzaz na ivo akaamua kwenda kwa mganga hyo aliyekua akitoa...

Spika wa Bunge ahusishwa na kashfa ya kuwauza watoto

Spika Hama Amadou alitoroka baada ya kuhusishwa na kashfa ya kuwauza watoto Spika wa bunge la Niger ametoroka nchini humo baada ya kamati ya bunge hilo kuafikia kukamatwa kwake kuhusiana na kashfa ya kuwauza watoto. Hama Amadou, ambaye tayari ameelezea azma yake ya kugombea urais mwaka 2016,...

HEKIMA ZA KIIMBILA "MANCHESTER WANAPOJIFUNIKA KITAMBAA CHEUSI WAKATI WA JUA KALI"

   Naona sasa Manchester united wameamua kwenda Muhimbili na kupasuliwa kichwa wakati wao wanaumwa goti.       Inasikitisha sana yani kwa jinsi walivyoshangilia ujio wa Angel di Maria ni kama vile hawana wachezaji wakubwa au pengine wachezaji wakubwa zaidi ya...

Mji wenye "wanawake Warembo" Brazil watafuta wanaume.

Mji mmoja nchini Brazil ambao una wanawake watupu, wengi wakiwa vijana na "warembo mno" umetoa wito wa kutaka vijana wa kiume - ambao bado ni makapera (yaani single). Kwa mujibu wa tovuti ya Metro, mji huo uitwao Noiva do Cordeiro, una watu 600,ambao wote ni wanawake. Watoto wa kiume wanaozaliwa katika...

Mawaziri wa Afya nchi za Afrika Magharibi wakutana kujadili Ebola

Mawaziri wa afya kutoka nchi za Afrika Magharibi wamekubaliana kuondoa upigaji marufuku wa safari za ndege na ufungaji wa mipaka kwa nchi ziliathirika kutokana na ugonjwa wa Ebola. Mawaziri hao...

Okwi arejea Msimbazi aahidi makubwa Ligi kuu bara

Njia zile zile walizotumia mahasimu wao Dar es salaam Young Africans kumpata mshambuliaji mganda Emmanuel Arnold Okwi ndiyo ambayo klabu yake ya zamani,wekundu wa Msimbazi Simba SC imeitumia kumrejesha kundini Mganda huyo hii leo Mshambuliaji Mganda Emmanuel Okwi akitambulishwa na mwenyekiti wa kama...