Rolf
Buchholz, Mjerumani anaetajwa kuwa mtu mwenye vipuli vingi zaidi usoni
akiwa amejitoboa zaidi ya mara 100 usoni amekataliwa kuingia Dubai
kutokana na sababu za kiusalama.
Tuesday, 26 August 2014
Unamjua mchawi anayemeza mapanga,aliyekatazwa kuingia Dubai.
Related Posts:
WhatsApp yavunjisha Ndoa Saudi ArabiaWiki chache baada ya WhatsApp kutambulisha mfumo mpya ambapo iwapo unamtumia message mtu inakuonyesha alama ya tick mbili za kijani na pia inaonyesha muda ambao mtu uliyemtumia message hiyo ameisoma, tayari kuna ndoa… Read More
Mchungaji awaamuru wanawake ambao hawajaolewakatika wavua nguo na kuwabusu "makalio" wapate upako. SIKU ZA MWISHO ZIMEFIKA. Wakati dunia ikiendelea kustaajabu kwa mambo ya "ajabu ajabu" kuhusu imani yanaendelea kujitokeza, sasa imeonekana kuwa kila siku ni afadhali ya jana. Mchungaji mmoja huko nchini Nigeria kwen… Read More
Bwana harusi ampa talala Bibi harusi siku ya Kufunga Ndoa.Bwana harusi mmoja kutoka Saudi Arabia amempa talaka mkewe siku ya harusi baada ya kumuona uso wake kwa mara ya kwanza wakati mpiga picha alipotaka kuwapiga picha. Maharusi hao kutoka mji wa magharibi wa Saudia,Medinah waliku… Read More
Waishi na maiti wakiamini itafufuka kwa maombi CanadaFamilia moja nchini Canada iliishi na maiti katika chumba cha juu cha nyumba yao kwa miezi sita kwa kuwa waliamini marehemu atafufuka iwapo wataendelea kumuomba mungu,lakini mwili huo ukapatikana baada ya familia hiyo kushind… Read More
Harusi ya ajabu;yafanyika chini ya maji,wengi wahudhuria. Maharusi waoana ndani ya bwawa la maji Maharusi wawili walifanya harusi yao katika bwawa lenye lita milioni 1.5 za maji ya bahari . Bwawa hilo hutumiwa kutoa mafunzo ya kupiga mbizi katika kituo cha F… Read More
0 comments:
Post a Comment