Facebook

Tuesday 26 August 2014

Hatimaye Lampard astaafu soka la kimataifa rasmi.

Frank lampard ametangaza kustaafu soka la kimataifa  ikiwa tayali ameichezea timu hyo ya taifa mechi 106 na kuifungia mabao 26.

Lampard aliyeanza kucheza soka la kulipwa katika club ya WestHam na badae kwenda Chelsea ambapo aliifungia klabu hyo ya England magori 211 baada ya kucheza mechi 648 ni mchezaji wa sita kwenye orodha ya wachezaji walioichezea England mechi nyingi sawa na sir Boby Charton" na mechi yake ya mwisho ilikua,dhidi ya Costa Ricka katika fainali za kombe la Dunia!"

0 comments:

Post a Comment