Facebook

Tuesday 26 August 2014

50 Cent aongelea suala la Suge Knight kupigwa risasi.


Katika siku ya jumapili usiku(24 August 2014) lilitokea tukio kurushiwa risasi mastaa mbalimbali katika maandalizi ya tuzo za VMA na inasemekana mmelengwa alikuwa ni Chriss Brown,huku Nyota mwinginw,Suge Knight alinusurika kifo baada ya kupigwa vibaya na risasi.


50 Cents aliongelea kuhusu suala la Suge Knight kupigwa risasi siku ya jumapili asubuhi.
 

Suge Knight alipelekwa hospitali baada ya kuhimili risasi 6 alizopigwa tumboni na mkononi,katika sherehe aliyokuwa akiiongoza Chris Brown ya pre-party MTV VMAs,West Hollywood.
  Mpaka hivi saa Meya wa West Hollywood alisema mtuhumiwa bado hajatambuliwa.

50 Cents si mgeni na majeraha ya risasi,hivyo alilielezea suala hilo katika ukurasa wake kwenye Instagram.

                                          SamChris Swai
                                        {Admin BantuTz} 

0 comments:

Post a Comment