Facebook

Monday 25 August 2014

Kimenuka Nigeria,Boko Haram wataka kuigawa Nchi..RENAMO yajirudi Msumbiji.

Kimenuka Nigeria.................
Kundi la kiislam lenye msimamo mkali la boko haramu latangaza kujitenga rasmi na nchi  ya Nigeria na kuanzisha taifa la kiislamu katika maeneo wanaoyadhibiti!"
Huku pia imeripotiwa kuwa wabajeshi 480 wa Nigeria watorokea Cameroon!!

Vile vile huko msumbiji chama cha Renamo kilichokua kimejitenga na Serikali na kuanzisha jeshi lake kimeamua kurudisha siraha na kusaini mkataba na serikali ya Msumbiji!

Imeandaliwa na......
                          ~Peter Bulimbe

0 comments:

Post a Comment