Facebook

Monday 25 August 2014

KAULI YA BALOTELI BAADA YA KUTUA RASMI LIVERPOOL


"Nadhani nilifanya makosa kuondoka England,nilipenda kwenda Italy lakini nmegundua lile lilikua kosa"

>Akizungumzia  huamisho wa Baloteli kocha wa Liverpool Brandan Rosgers amesema "Uhamisho huu umefata misingi ya klabu na nadhani tumefanya bihashara Nzuri!

>Baloteli amesajiliwa kwa kitita cha paund mil 16 na kukabidhiwa jezi no 45" lakini hatoweza kucheza mechi dhidi ya timu yake ya zamani leo.

Imeandaliwa na......
                               PETER BULIMBE

Indelea kutembelea www.bantutz.con uweze kupata habari mbalimbali kwa muda na wakati muafaka

0 comments:

Post a Comment