Facebook

Tuesday 26 August 2014

Ajali mbaya ya ndege na Parachuti

NI AJALI MBAYA YA HUYU JAMAA NA NDEGE ANGANI



Screen Shot 2014-03-11 at 4.57.11 PMHili imetokea Florida Marekani ambapo mtu mmoja alikua anaruka akiwa na Parachuti lakini akakutana na ndege hii ndogo ambayo baada ya kumgonga walianguka chini wote huku ndege ikiangukia pua.
Pamoja na ajali hii, hakuna mtu aliepoteza maisha ila wote walipata majeraha madogomadogo baada ya kuanguka kwenye umbali wa futi 75 na wakapelekwa hospitali ambapo mwenye Parachuti John Frost (49) aliruhusiwa kuondoka.
Hili tukio limenaswa jinsi lilivyotokea kwa sababu kulikua na mpiga picha aliekua na camera karibu na alikua anashuhudia kila kitu.
.
Screen Shot 2014-03-11 at 4.58.21 PM
Screen Shot 2014-03-11 at 4.57.53 PM
Screen Shot 2014-03-11 at 4.58.37 PM
Screen Shot 2014-03-11 at 4.58.49 PM
Screen Shot 2014-03-11 at 4.59.03 PM
Screen Shot 2014-03-11 at 4.59.16 PM

0 comments:

Post a Comment