Facebook

Monday 25 August 2014

Maajabu !! Kutana na Mtu unaozaa matunda yenye umbo la mwanamke.


Katika pita pita zangu mitandaoni,nilikuwa najaribu kukutafutia kitu cha kipekee sana ambacho haujwahi kukisikia.Nilishawahi kuona mti mkubwa unaozaa matunda yenye umbile kama sehemu ya uzazi ya mwanaume.

Lakini leo hii nakuletea uuone mti unaozaa matunda kama yenye umbile la mwanamke.
Mti huu wa ajabu unapatikana hukoThudong Forest-Thailand katika bara la Asia.Msitu wenye mti huu umekuwa kivutio sana huko Thailand kwani Thudong ni sehemu pekee tu unapopatikana mti huu wa Maajabu.
 
Msitu huo hivi sasa unahifadhiwa na serikali ya Thailand kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii nchini humo.Wageni mbali mbali kutoka Ulaya na Amerika wamekiwa wakifurika katika msitu huo kwenda kushuhudia maajabu yaliyopo.
 
Kwa mujibu ya takwimu za Wizara ya Maliasili na Utalii nchini humo inasema kwamba wageni wapatao Million 9-10 kwa mwaka wanafurika kwenda kushuhudia mti huo wa maajabu.
 
Baadhi ya wanasayansi kutoka China, Japan, Korea, Urusi, Uingereza, Ujerumani na Marekani wamekuwa wakienda kuchukua baadhi ya mizizi,matawi na matunda ya mti huo kwenda kuyafanyia tafiti mbalimbali.

Vilevile mti huo kwa kawaida huzaa matunda hayo yenye umbile kama la mwanamke kila baada ya miaka 20,awali watu wa asili wa waliotimuliwa eneo hilo wenye imani ya ki-BUDHA waliokuwa wanakaa katika msitu wa Thudong walikuwa wanatumia mti huo kwa ajili ya sala na matambiko mbalimbali.   

                       Imeandaliwa na......

                          Katemi Methsela.

Endelea kutembelea www.bantutz.com uweze kuongeza maarifa kwa kujua vitu mbalimbali vyenye maajabu na kushangaza

0 comments:

Post a Comment