Facebook

Sunday 24 August 2014

Maajabu :Boti yenye muonekano wa Helikopter.

Screen Shot 2014-03-12 at 5.38.06 PMKuna vitu vingi sana kwenye haya maisha vimetengenezwa kwa ubunifu au kubadilishwa kwenye muonekano wa kawaida uliozoeleka ili kuleta ladha zaidi au kuongeza ubora.
Ipo nchini Marekani na unaambiwa kwa jinsi ilivyotengenezwa pamoja na kuleta starehe ya namna yake pia inasaidia kuyakata maji kiurahisi.
Screen Shot 2014-03-12 at 5.37.39 PM
Screen Shot 2014-03-12 at 5.37.56 PM

0 comments:

Post a Comment