Facebook

Tuesday, 26 August 2014

Kikosi cha taifa stars kitakachopambana na Morocco chatajwa.


Morocco ( Atlas Lions) v Tanzania ( Taifa Stars),
5 Septemba... Haya ni majina ya wachezaji wa
STARS yaliyotangazwa na mkufunzi mkuu, Martin
Nooij....

MAKIPA,
Deogratius Munish ( Yanga SC),
Mwadini Ally Mwadini ( Azam FC),

MABEKI;
Shomari Kapombe, Aggrey Morris, Said Mourad
( wote Azam FC), Kelvin Yondan, Oscar Joshua,
Nadir Haroub, Edward Charles ( wote Yanga SC),
Joram Mgeveke ( Simba SC),

VIUNGO;
Erasto
Nyoni, Himid Mao, Salum Abubakary ( wote
Azam FC), Amri Kiemba, Said Ndemla, Haruna
Chanongo ( wote Simba SC), Said Juma ( Yanga
SC), Mwinyi Kazimoto ( Al Markhiya, Qatar),

WASHAMBULIAJI;
John Bocco, Hamis Mcha
( wote Azam FC), Mrisho Ngassa, Simon Msuva
( wote Yanga SC), Thomas Ulimwengu, Mbwana
Samatta ( wote TP Mazembe, DRC), Juma Luizio
( Zesco United, Zambia), Mwigane Yeya ( Mbeya
City FC)

Related Posts:

  • Luis Suarez amuomba radhi Chiellini    Katika taarifa yake kwenye twitter amesema hivi: Baada ya siku kadhaa za kuwa nyumbani na familia yangu, nimekuwa na muda wa kutulia na kutafakari kuhusu hasa kilichotokea wakati wa mchezo kati ya Italy … Read More
  • KOCHA WA ALGERIA ACHUKIZWA NA MASWALI KUHUSU MFUNGO WA RAMADHANI Kocha wa Algeria Vahid Halilhodzic amekataa kutaja wachezaji wake watakaofunga mwezi wa Ramadhani, kabla ya mchezo wao wa Jumatatu (leo) dhidi ya Ujerumani. Katika mkutano na waandishi wa habari, alikasirishwa baad… Read More
  • Rekodi ya Suarez kung'ata wachezaji wenzake 2010 | Alifungiwa mechi 7 kwa kosa la kumuuma mchezaji wa PSV, Otman Bakkal kipindi hicho akiichezea klabu ya Ajax. 2012 | Aliuma tena safari hii alifungiwa mechi 10 na muathirika wa meno yake alikua ni beki wa Chelsea… Read More
  • ‘Wamatumbi’ wagoma kuondoka Ujerumani Maombi ya hifadhi ya wakimbizi hao wa muda mrefu yamekataliwa na serikali ya Ujerumani. Mamia ya maafisa wa polisi wameizunguka shule ya zamani mjini Berlin ambayo imekaliwa na wakimbizi wa muda mrefu ambao ha… Read More
  • "Utata" wa penati za Costa Rica na Ugiriki   Hivi ndivyo penati zilivyopigwa baada ya mpira kumalizika 1-1 Costa Rica walianza, Celso Borges 1-0 Ugiriki wakasawazisha, Konstantinos Mitroglou 1-1 Bryan Ruiz (Costa Rica) 2-1 Lazaros Christodoulopoulos (Ugirik… Read More

0 comments:

Post a Comment