Facebook

Monday 25 August 2014

Picha hizi za P-Square zavunja rekodi mitandaoni.

ddd
Peter na Paul mapacha wa P Square wanakaribia kutoa album yao ya sita na hivi sasa wametoa picha zao mpya ikiwa ni moja ya promotion kuelekea uzinduzi wa album hiyo.
Kama wewe ni shabiki wa P Square enjoy kucheki hizi picha.
0
1
2
3

5
6
7

0 comments:

Post a Comment