Facebook

Sunday 24 August 2014

Mwanamke abadilika na Kuwa Nyoka Misri.

Kwa jicho la kwanza la mtu yeyote anaweza kustaajabu kwa hiki anachokiona.


Kama ukipata bahati ya kukutana naye naamini unaweza kujikuta unapita kama si kukimbia kwa kutokujua kwamba huyu ni mwanamke ambaye amejivalisha kitu ambacho kimekufanya ushangae kama huyu ni binadamu.

Naamini majibu tofauti yatapatikana kwa kila mmoja wetu kama akibahatika kuja kumuona mtu huyu kwa mara ya kwanza, ila pongezi zangu za dhati nataka ziwaendee wale wote ambao ni wabunifu wa hili na mengineyo yanayotokea Duniani.

Cheki picha za ubunifu huu hapo chini....





0 comments:

Post a Comment