Facebook

Monday 25 August 2014

Arusha tena ! Mtoto amiminiwa risasi akiwa na wazazi wake

 
Hapo jana Arusha liliripotiwa tukio la kusikitisha sana,mmoja wa shuhuda wa tukio hilo alipohojiwa alisema haya


"Jaman arusha inatisha jana saa tano usiku kuna rafika yake daman anampigia simu yuko na mke na watt wawil wa kike wanatoka dina wanarud home mara jamaa wa toyo hao wawil simamisha gari ba utoe vyote Ulivyonavyo mkaka hakusimama wakaanza mkimbiza wanaelekea mbauda wakapiga risas kwa nyuma maskin ikampata mtt wake wa miaka nane alikuwa amelala kwenye siti straight kwenye ubongo hawana habr wanafka mahal wachek ni nn wanaona mtt damu zinatoka machon kimbizq hosp mount meru wameshindwa kumtoa risas mtt akafarik jana hyohyo ..
Huzun sana jaman jamaa anafanya kaz UN liberia alirud tu likizo na hyo mambo ya ebola juzi alikuja kutuaga anarud kwenye ebola tumuombee jana ilikuwa last night na familia kaipeleka dina haya MTT ndo hyo yaan analia kama mtt mdogo"

0 comments:

Post a Comment