Facebook

Monday 25 August 2014

Di Maria awasili Manchester .

Mchezaji Angel Di Maria amesha wasili katika
viwanja vya AON training Complex,na
anatarajiwa kufanyiwa vipimo vya afya jioni
yaleo ambapo kwa mida ya nchini Uingereza
itakua mchana,baada ya hapo atakaachini na
uongozi wa Man United kufanya makubaliano
na kusaini mkataba.

0 comments:

Post a Comment