Facebook

Monday, 25 August 2014

Muingereza apata Ebola,arejeshwa kwao.

Mkaguzi wa ebola katika hospitali ya Sierra Leone

Maafisa wa serikali ya Uingereza wanasema kuwa mfanyakazi mmoja wa utabibu kutoka Uingereza ambaye ameambukizwa virusi vya Ebola nchini Sierra Leone, ataletwa Uingereza.
Atasafirishwa kwa ndege ya jeshi la wanahewa la Uingereza.
Atatibiwa kwenye kituo kilichotengwa ndani ya hospitali moja mjini London.
Afisa wa wizara ya afya ya Sierra Leone alisema mwanamme huyo amekuwa akifanya kazi katika kituo cha kuwatibu wagonjwa wa Ebola mashariki mwa nchi.

Related Posts:

  • " Game of Thrones" yajinyakulia tuzo kubwa Marekani. Tamasha kubwa la kila mwaka Emmys Awards, la kutoa tuzo kwa vipindi vya televisheni limefanyika mjini Los Angeles Marekani. Kipindi cha Game of Thrones, kimenyakua matuzo mengi zaidi ikiwemo makala bora zaidi. Viola Davis nay… Read More
  • Bomu laua watu 6 katika makao ya Rais Somalia.Bomu lililotegwa ndani ya gari limelipuka karibu na lango kuu la jumba la rais katika mji mkuu wa Mogadishu. Takriban watu sita wamefariki,ikiwemo walinzi wa rais.Raia mmoja wa Uturuki pia aliuawa. Wengine 10 waliripotiwa kuj… Read More
  • Panya wasababisha kifo 'Jela ya Mandela'Watu karibu 4,000 wameondolewa kutoka jela ya Pollsmoor nchini Afrika Kusini baada ya panya wengi kuvamia gereza hilo na kusababisha kifo cha mfungwa mmoja. Kiongozi wa zamani wa nchi hiyo Nelson Mandela aliwahi kufungwa kati… Read More
  • Ahukumiwa kifungo kwa maoni ya Uchochezi Facebook.Mahakama ya Singapore imemuhukumu muuguzi mmoja kutoka nchini Ufilipino kifungo cha miezi minne kwa kuchapisha maoni ya uchochezi kuhusu taifa hilo kwenye mtandao wa kijamii wa Facebook. Ello Ed Mundsel Bello ambaye amekuwa a… Read More
  • Wanasayansi watengeneza figo maabara. Je una matatizo ya figo ? Ikiwa jibu lako ni ndiyo kuwa na subira, maanake hivi karibuni figo zilizoundwa kwenye viwanda na maabara vitakuwepo kuwasaidia. Nafahamu kuwa waganga wengi wamewaahidi tiba lakini hii sio hekaya tu… Read More

0 comments:

Post a Comment