Tuzo za VMA 2014 zimefanyika na nyota wengi  walifika kwenye hilo tukio.Orodha ya nyota hao iliongozwa na familia ya Jay Z na Beyonce wakiwa na
 mtoto wao Blue Ivy,Kelly Rowland,Chris Brown,Solange,Nicki 
Minaj,JLo,Usher,Iggy Azalea na wengine wengi.
Hizi ni picha kutoka ndani ya ukumbi uliofanyika tukio hilo.































Hizi ni picha kutoka ndani ya ukumbi uliofanyika tukio hilo.
0 comments:
Post a Comment