Facebook

Tuesday 26 August 2014

DI maria awasili Carrington tayari kwa vipimo vya afya.


Di Maria awasili Carrington Training
Complex tayari kwa kufanyiwa vipimo.Na
endapo atafuzu vipimo atatangazwa rasmi
kama mchezaji
wa Man United mapema kesho.

Imeandaliwa na.......
                              KATEMI METHSELA

Endelea kutembelea www.bantutz.com
upate kila kitakachokuwa kinaendelea
kuhusiana na sakata la Usajili.

0 comments:

Post a Comment