Facebook

Tuesday 26 August 2014

Rais wa Nigeria arejea nchini kwake huku Boko Haram wakitangaza kujitenga.

Hatimaye rais wa Nigeria Goodluck Jonatan arejea rasmi nchini kwake Akitokea Germany alikoenda kwa matibabu!!

Rais huyo anarejea huku nchi hiyo ikiwa kwenye matatizo makubwa hususan Maovu yanayofanywa na kikundi cha Boko Haram.

Boko Haram hapo jana wametangaza wanataka kujitenga na taifa hilo,huku wakitaka kutengeneza dola yao katika majimbo wanayoyashikilia kwa kuyateka hadi hivi sasa.

0 comments:

Post a Comment