Facebook

Wednesday 27 August 2014

Angalia vituo vya mabasi Dubai vyenye AC

dubai 3
Dubai ni sehemu ambayo hata nchi nyingi kubwa duniani zinaipa salute… ni sehemu ambayo imejengwa kwenye miaka ya karibuni hivyo kufanya vitu vyake vingi kuwa vya kisasa na vyenye ubunifu mkubwa.
 dubai 4
Ni sehemu ambayo pia unaambiwa ina usalama mkubwa duniani, tulikwenda club tukatoka saa tisa na tukatembea kwa mguu mpaka tulipokua tumefikia.
 Dubai 1
January 2014 kupitia Dubai 1 TV, serikali ya nchi hii imetangaza kuweka AC kwenye vituo vyote vya basi ili kusaidia wasafiri mbalimbali kwenye kipindi cha majira ya joto, kipindi ambacho kinasifika kwa joto kubwa.
dubai 5
dubai 6
dubai 8Huu ni muonekano wa nyuma wa vituo vyenyewe na vilivyowekewa AC.
dubai 9
dubai 10

0 comments:

Post a Comment