Facebook

Friday 29 August 2014

Angelina Jolie na Brad Pitt wafunga ndoa.


Wacheza filamu maarufu wa Marekani, Angelina Jolie na Brad Pitt wamefunga ndoa. 
Sherehe ndogo ya faragha iliyofanyika nchini Ufaransa,imemaliza miaka na mikaka ya tetesi za vyombo vya habari, ikiwa watafunga ndoa au la, na lini hilo litafanyika. 
Tayari wana watoto sita, watatu kati yao wakiwa wa kuasili kutoka Cambodia,Vietnam na Ethiopia.

0 comments:

Post a Comment