Kampuni ya kutengeneza vifaa vya michezo ya Pakistan imepata mkataba wa Adidas wakutengeneza mipira itakayotumika kwenye kombe la dunia 2014 nchini Brazil.
Fahamu “brazuca” Mpira utakao tumika kwenye mechi ya fainali utatengenezwa na Adidas wenyewe kwa vigezo na viwango vya mpira huo.
Huyu Khawaja Akhtar ni CEO wa Forward Sports Pvt, Pakistan
Khawaja Akhtar alipata dili hiili baada ya waliokuwa na mkataba huu na Fifa kushindwa kukamilisha namba ya mipira iliyohitajika kwa muda waliopewa. Ilikuwa kampuni ya Mchina.
Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com uweze kupata kila taarifa itakayokuwa inahusiana na michauno ya kombe la dunia inayotarajiwa kufanyiki Mwezi Juni huko Brazil
0 comments:
Post a Comment