NYOTA wa filamu za Kibongo, Yusuph Mlela
amedaiwa kugeuka teja (mbwia madawa ya kulevya) hali inayomsababishia
ashindwe kujichanganya na wasanii wenzake katika shughuli mbalimbali. Kikizungumza na Amani juzikati, chanzo
kilisema msanii huyo kwa sasa anavuta unga kiasi cha uteja kujionesha
waziwazi na kupoteza mwonekano wake wa zamani. Juzi Mlela alitafutwa na
kufanikiwa kupatikana nyumbani kwao Kinondoni jijini Dar es Salaam ambapo
alikuwa na haya ya kusema: “Katika maisha yangu sijawahi kutumia
madawa ya kulevya na huwa nayapinga sana. Wanaosema navuta ni waongo,
mimi sasa hivi naitwa baba, hivyo majukumu yameongezeka ndiyo maana
sijichanganyi kivile.”
Kanisa Jipya Linalomwabudu Beyonce Laibuka huko Marekani
Back in January we learned that a new Kanye West-inspired religion was
created by a 23-year old man so I guess it should come as no surprise to
learn that a Beyoncé-inspired religion has also been created as well.
Be…Read More
0 comments:
Post a Comment