Baadhi ya wanafunzi wa CBE Dodoma
wamekerwa na kitendo cha kuchafuliwa kwenye mtandao wa Instagram na mtu
ambaye hawajamfamu kwa jina ingawa baadhi yao wanadai kuwa ni
mwanafunzi mwenzao ambaye anatumia jina tofauti kabisa na lake na pia
yupo miongoni mwao lkn bado hawajamfahamu....
Mwanafunzi huyo anayetumia Akaunti Feki ya
Instagram anaposti picha za wanafunzi wenzake na kuwaponda kuwa ni malaya
wanaoujiuza.... pamoja na kuwachafua wengine kuwa ni mashoga. Baadhi ya
wanafunzi walio wengi wa CBE wamechukizwa na kitendo hicho cha
kuchafuliwa bila sababu yoyote na wamedhamiria kumsaka huyo mtu kwa
gharama yoyote ili aweze kuwajibishwa:Instargram anatumia jina
LEE_IN_BOY
Friday, 2 May 2014
Wanafunzi wa chuo cha CBE-DOM wachafuliwa kwa picha chafu na matusi mazito instagram.........fuatilia.....
Related Posts:
"TWEETS" ZA WATU MASHUHURI NA TAASISI MBALIMBALI KUHUSIANA NA SAKATA LA ESCROW. BantuTz.com @BantuTz Mwenyekiti wa Bunge ametumia madaraka yake kuahirisha Bunge mpaka saa kumi na moja jioni. Ripoti ya Zitto(PAC) haikuanza kujadiliwa … Read More
MAHAKAMA YASITISHA MJADALA WA ESCROW KUJADILIWA BUNGENI,ZITTO ADHIBITISHA LAZMA TAARIFA YA PAC ILETWE BUNGENI. Mahakama Kuu imesimamisha mjadala wa Ripoti ya Escrow kujadiliwa Bungeni - Zitto asema taarifa ya PAC italetwa bungeni hata zuio likiwekwa, awataka majaji wasome Katiba na Sheria ya Haki, Kinga na Madaraka ya Bunge Ban… Read More
LIVE FROM DODOMA-SAKATA LA ESCROW5:3O ASUBUHI BUNGE LIMEHAIRISHWA MPAKA SAA 11:00 JIONI Mh Kafulila kazungukwa na wabunge wengi sana nje wanampongeza kwa kuoa. 5:25 ASUBUHI MIONGOZO (Nchambi): Kuna taarifa mahakama imepinga kujadili Escrow (anazo… Read More
Taarifa kutoka kwa Mh Zitto Kabwe kuhusiana na ukaguzi Maalumu akaunti ya Tegeta Escrow Tarehe 20 Machi, 2014 Kamati ya PAC ilimwagiza CAG kufanya Ukaguzi Maalumu kwenye akaunti ya Tegeta Escrow kufuatia kuchotwa kwa tshs 200 bilioni kutoka Benki Kuu ya Tanzania na kulipwa kwa kampuni ya PAP. Mawanda ya u… Read More
BantuTz MAGAZINE-Soma kilichoandikwa katika Magazeti ya leo Novemba 26. BantuTz MAGAZETI:Ni miongoni mwa huduma bora kabisa tunazozitoa ili wewe mdau wa Bantu usipitwe na habari,stori au taarifa yoyote ile.Tunakuletea kila tunachokipata kwa wakati na muda muafaka.Soma kilichoandikwa… Read More
0 comments:
Post a Comment