Facebook

Monday, 26 May 2014

Umeona haya Mazoezi Wanayofanya Timu Ya Taifa Ya Mpira Wa Miguu Ya Japan

Japanese football training 

Mchezaji wa mbele anaonekana kama anafanyia mazoezi ya shindano la mtu mwenye nguvu zaidi duniani, ni zoezi ambalo hutumiwa na wanamichezo wa mashindano ya mtu mwenye nguvu zaidi, Mchezaji hufungwa kamba na kuvuta kitu chenye matairi. Hizi ni baadhi tu ya mbinu za mazoezi wanazofanya wachezaji wa Japani ambazo zimeonekana kama ni za zamani ila zinamfanya mchezaji kuwa na nguvu uwanjani.
Ni katika maandalizi ya timu ya Japan kwa ajili ya kombe la dunia Brazil mwaka huu.

Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com uweze kujionea vioja na vituko mbalimbali vinavyotokea sehemu mbalimbali duniani

Related Posts:

  • KIKOSI CHA AZAM FC DHIDI YANGA1. MWADINI ALI 2. SHOMARI KAPOMBE 3. ERASTO NYONI 4. DAVID MWANTIKA 5. AGGREY MORIS 6. BOLOU MICHAEL 7. HIMIDI MAO 8. SALUM ABUBAKAR 9. DIDIER KAVUMBAGU 10. KIPRE TCHETCHE 11. LEONEL SAINT PREUX AKIBA AISHI MANULA MUDATHIR YA… Read More
  • Ligi Kuu Uingereza:Arsenal kukumbana na Manchester City hapo kesho.Uwanja-Emiraters Mashabiki-60,300 Timu-Arsenal vs man city Arsenal ni timu iliyoanzishwa mwaka 1889 kaskazini mwa jiji LA London Mpaka sasa Arsenal wamekutana Na man city mara184 ~Arsenal wameshinda Mara 93 ~Manchester city a… Read More
  • Kocha wa timu ya taifa Ureno;Bento atimuliwa,Scolar akamata mikoba.Paulo Bento amefukuzwa kazi kwenye timu ya taifa ya Ureno baada ya mwanzo wa mbaya kwenye michuano ya kugombea nafasi ya kushiriki michuano ya Euro 2016. Luis Scoral anapewa nafasi ya kumrithi. … Read More
  • Yanga vs Azam Pazia la Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara linafunguliwa leo kwa mchezo wa Ngao ya Jamii kwa wakali wa Jangwani Yanga SC kucheza na timu ya Azam FC, Uwanja wa Taifa kuanzia majira ya saa 10:00 jioni kwa saa za Afrika Masharik… Read More
  • Diego Costa mchezaji bora Ligi kuu Uingereza.Diego Costa ameshinda tuzo ya mchezaji bora Premier League kwa mwezi August kwa kuwapiku Cesc Fabregas (Chelsea), Nathan Dyer (Swansea),Gylfi Sigurdsson (Swansea) na Andreas Weimann (Aston Villa). Mourinho ambaye ndiye anayek… Read More

0 comments:

Post a Comment