Facebook

Tuesday, 13 May 2014

Unakijua alichokiandika Michael Carrick baada ya kutemwa timu ya taifa England

carrick_1716041a 
Muda mchache baada ya kocha Roy Hodgson kutangaza kikosi cha timu ya taifa ya England kitakachokwenda Brazil mchezaji wa klabu ya Manchester United aliyeachwa Michael Carrick ameandika ya moyoni kwenye page yake ya Twitter.
Carrick ambaye ameachwa na nafasi yake kuchukuliwa na kiungo Jordan Henderson wa Liverpool, amesema michuano ya kombe la dunia ina upekee, amehuzunishwa na uamuzi wa kocha kumtema kwenye kikosi ambapo pamoja na yote yaliyotokea anawatakia England kila la heri.
carrick

0 comments:

Post a Comment