Tuesday, 13 May 2014
Unaijua sehemu kilipo hiki kivutio ?
Kivutio hiki cha kitalii kimegharimu dola za kimarekani milioni 19 ambazo ni sawa na zaidi ya bilioni 31 na milioni 300 za Kitanzania na kimechukua miaka mitano kukamilika kwa ujenzi wake.
Unaambiwa sehemu hii ‘Glacier Skywalk’ imedizainiwa kwa miaka mitano na ujenzi wake umechukua miaka miwili.
Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com uzidi kujionea maajabu mbalimbali yaliyoko dunjiani...
0 comments:
Post a Comment