Facebook

  • Tutorial 1

    This is Trial

  • Tutorial 2

    This is slide 2 description. Go to Edit HTML and replace these sentences with your own words. This is a Blogger template by Lasantha - PremiumBloggerTemplates.com...

  • Tutorial 3

    This is slide 3 description. Go to Edit HTML and replace these sentences with your own words. This is a Blogger template by Lasantha - PremiumBloggerTemplates.com...

Monday, 30 June 2014

"Utata" wa penati za Costa Rica na Ugiriki

  Hivi ndivyo penati zilivyopigwa baada ya mpira kumalizika 1-1 Costa Rica walianza, Celso Borges 1-0 Ugiriki wakasawazisha, Konstantinos Mitroglou 1-1 Bryan Ruiz (Costa Rica) 2-1 Lazaros Christodoulopoulos (Ugiriki) 2-2 Giancarlo Gonzalez (Costa Rica) 3-2 Jose Cholevas (Ugiriki) 3-3 Joel...

Orodha Kamili Ya Washindi Wa BET Awards 2014.

BET Awards 2014 ilifanyika jana Los Angeles, Marekani na kuwahusisha wasanii wa kimataifa kutoka katika kona mbalimbali za dunia. Katika tuzo hizo, Beyonce Knowles, Pharrell Williams na August Alsina waling’aa zaidi. Beyonce alitangazwa kuwa mshindi wa tuzo tatu ambazo ni Best...

Mfalme wa Saudi Arabia awashukia Waislamu wenye misimamo mikali

ISIL (Islamic State of Iraq and Levant) ni kundi la kijihadi lenye nguvu ambalo limeshiklilia eneo kubwa nchini Iraq, lengo lao ni kutaka kuanzisha serikali ya Kiislamu nchini humo. Siku ya Jumapili, Mfalme wa Saudi Arabia, Abdullah aliwakosoa vikali waislamu wenye misimamo mikali, “akiwakemea...

Diamond akutana na Nelly kwenye Red Carpet ya BET,afunguka ya moyoni.

  Tukio la BET awards 2014 limefanyika na mambo mbalimbali yalitokea, zaidi ya interview kwenye redcarpet Diamond amekutana na wasanii tofauti. Hivi sasa ameshare picha zake akiwa na msanii Nelly wakionekana kwenye mazungumzo na salamu. Hayo yote yametokea kwenye redcarpet ya BET usiku wa...

KOCHA WA ALGERIA ACHUKIZWA NA MASWALI KUHUSU MFUNGO WA RAMADHANI

Kocha wa Algeria Vahid Halilhodzic amekataa kutaja wachezaji wake watakaofunga mwezi wa Ramadhani, kabla ya mchezo wao wa Jumatatu (leo) dhidi ya Ujerumani. Katika mkutano na waandishi wa habari, alikasirishwa baada ya kuulizwa suala hilo mara kadhaa. "Hili ni suala binafsi, na kuuliza ni...

TETESI ZA USAJILI NA KOMBE LA DUNIA

   Mchezaji Roben ameomba msamaha kwa kitendo cha kujidondosha na kuzawadiwa penati iliyowavusha uholanzi hadi kufika robo fainali.  Klabu ya Real Madrid wametoa ofa ya E31mil kwa ajili ya kumsajili kiungo mshambuliaji wa Liverpool Raheem Sterling,  Vilabu vya Liverpool,...

Joel Camplee apata kibali cha kucheza Uingereza,aleta ahueni kwa Arsenal.

JOEL CAMPBELL APATA KIBALI CHA KAZI ENGLAND Joel Campbell amethibitisha kwenye akaunti yake ya Twitter kwamba amepokea kibali cha kufanya kazi nchini England jana. Mshambuliaji huyo ambaye alisajiliwa na Arsenal misimu miwili iliyopita kutoka klabu yake ya nyumabani ya Saprissa, amekua akicheza...

Beki kisiski wa Ivory Coast mbioni kujiunga Arsenal.

  Marseille wameonyesha kuvutiwa na beki wa kulia wa Toulouse,Serge Aurier lakini raia huyo wa Ivory Coast anasema anataka kujiunga na klabu ya Arsenal huku thamani yake ikifikia kiasi cha Euro milioni 8. Mpaka sasa hakuna la msingi lililofanyinywa na Arsene Wenger ingawa beki huyu...

Arsenal wauza hisa za Carlos Vela,na kufuta matumaini ya kumrejesha.

Baada ya tetesi zilizodumu kwa muda mrefu kuhusu Carlos Vela kurejea Arsenal, The Gunners wameamua kuuza shea zao zilizobakia zinazohusu usajili klabuni Real Sociedad. Arsenal wamepokea £8.8m kwa ajili ya kuondoa kipengele cha kumnunua tena Vela kwa bei kiduchu na wanaweza kupewa tena hadi...

Rekodi ya Suarez kung'ata wachezaji wenzake

2010 | Alifungiwa mechi 7 kwa kosa la kumuuma mchezaji wa PSV, Otman Bakkal kipindi hicho akiichezea klabu ya Ajax. 2012 | Aliuma tena safari hii alifungiwa mechi 10 na muathirika wa meno yake alikua ni beki wa Chelsea Branislav Ivanovic. 2014 | Luis Suarez alionekana kuuma bega la Girogio...

Wenger akana kumsajili Mario Balotelli.

    Wenger, akionekqna kwenye televisheni ya beIN Sport's World Cup show, aliulizwa na Ruud Gullit kama anamnunua straika wa zamani wa Manchester City Mario Balotelli, na jibu lake likawa: 'Hapana. Hapana, Hiyo imetungwa. 'Hatuwezi kuamini vyote kwenye mitandao na magazeti. 'Kuna...

Arsenal kutema wachezaji 11

    Arsenal wamethibitisha kwamba wachezaji 11 wataihama klabu hiyo pindi mikataba yao itakapomalizika June 30. Nicklas Bendtner na Ju Young Park kufikia tarehe hiyo watakua ukingoni mwa mikataba yao ilhali Kim Kallstrom na Emiliano Vivian mikataba yao ya mkopo itamalizika na watarudi...

Mtoto wa miaka 13 aikoa Nigeria Kulipuliwa na bomu kubwa

Siku chache baada ya kutokea shambulizi kubwa la bomu katika soko kubwa ‘Mall’ jijini Abuja, Nigeria mtoto mwenye umri wa miaka 13 amesaidia kuwaokoa raia wa Nigeria kushambuliwa na bomu kubwa baada ya kulishitukia na kutoa taarifa polisi.   Kwa mujibu wa msemaji wa polisi wa Kano, aliyejitambulisha...

Manchester United yarusha ndoano kwa Alexis Sanchez

  Manchester United imetupia macho kwa mchezaji wa Barcelona na Chile,Sanchez £40mil Baadhi ya magazeti nchini Uingereza leo asubuhi na kituo cha SkySport kimezungumzia hili....

Sunday, 29 June 2014

Manchester United mbion kunasa saini ya kisiki cha Uholanzi,Arsenal na Man Utd zatiana pembe kwa Vidal

  Karibu vyombo vingi vya habari vimeripoti kuwa Manchester United na klabu ya Feyernood vimefikia makubaliano ya kumsajili beki wa kati Stefan de Vrij kwa thamani ya Paund mil 8.. Beki huyo nguzo kwa timu ya taifa ya uholanzi kwa sasa anashiriki fainali za kombe la dunia na uhenda akajiunga...

Boko Haram waanza kuadhibiwa Kichawi......Nyoka wa Ajabu na Nyuki Wawatoa Msituni

Wanajeshi wa Boko Haram wanaofanya mashambulizi na kuua raia wasio na hatia huko Nigeria wamedaiwa kuanza kukimbia msitu baada ya nyoka wenye sumu kali na nyuki kuwashambulia. Habari hizi zilielezwa na mtuhumiwa mmoja aliyekamatwa na kuthibitisha kuwa ni mmoja wa member wa kundi la...

‘Wamatumbi’ wagoma kuondoka Ujerumani

Maombi ya hifadhi ya wakimbizi hao wa muda mrefu yamekataliwa na serikali ya Ujerumani. Mamia ya maafisa wa polisi wameizunguka shule ya zamani mjini Berlin ambayo imekaliwa na wakimbizi wa muda mrefu ambao hawataki kuondoka. Wakimbizi hao wa Afrika wanataka haki ya kubaki Ujerumani,...

Fifa wamuondolea adhabu gwiji wa Ujerumani, Franz Beckenbauer

Fifa wameondoa adhabu ya siku 90 za kutojishughulisha na michezo iliyokuwa imewekwa dhidi ya gwiji wa Ujerumani Franz Beckenbauer. Beckenbauer, mshindi wa Kombe la Dunia akiwa kama kocha na nahodha, siku ya Ijumaa aliambiwa kuwa adhabu hiyo imondolewa haraka iwezekanavyo,...

Uingereza yakumbwa na uhaba wa mbegu za kiume

Uingereza inakabiliwa na upungufu wa Mbegu za kiume hali ambayo huenda ikalazimu kiliniki za matibabu ya uzazi nchini humo kuchukua mbegu duni. Onyo hili limetolewa na shirika la kijamii...

Wanajeshi wa Iraq wauteka mji wa Tiqrit

Wanajeshi wa Iraq wakielekea mjini Tiqrit Serikali ya Iraq inasema kuwa vikosi vyake vimeuteka mji wa kazkazini wa Tikrit kutoka kwa wapiganaji wa ki-sunni ambao walikuwa wameteka mji huo wiki mbili zilizopita. Vyombo vya habari vya kitaifa vimesema kuwa wanajeshi wakisaidiwa na mizinga...

Alazwa hospitalini baada ya kumkana Mungu

Mubarak Bala Mwanamume mmoja katika jimbo la Kano, nchini Nigeria, amepelekwa katika kituo cha matibabu ya kiakili baada ya kusema kuwa hamwamini Mungu. Taarifa hii ni kwa mujibu wa shirika moja lisilo la kiserikali nchini NIGERIA. Mubarak Bala...

Van Gaal:Tutakunywa maji ya kutosha

Kocha wa Uholanzi Louis van Gaal anatarajia shirikisho la soka duniani FIFA litawaruhusu wachezaji wake kunywa maji katika mechi yao ya raundi ya pili dhidi ya Mexico itakayochezwa katika uwanja wa Castelao ulioko katika...

Colombia kumenyana na Brazil Robo fainali

Nyota wa Colombia na Monaco James Rodriguez alidhibitisha udedea wake katika kombe la dunia alipofunga mabao mawili na kuisaidia Colombia kuwa timu ya pili kufuzu kwa nane bora . Rodriguez mwenye umri wa miaka 22 alikuwa nyota...

Mlipuko waua watu 10 nchini Nigeria

Takriban watu 10 wameuawa na wengine 14 kujeruhiwa katika mlipuko uliotokea katika mji wa Bauchi Kaskazini mwa Nigeria. Kwa mujibu wa polisi, shambulizi hilo lililoripotiwa Ijumaa jioni lilitokea katika jengo linalojulikana kutumiwa...

Brazil yaponea chupuchupu

Neymar alifinga penalti yake, sababu ya furaha hii Brazil imeponea kung'olewa kutoka mashindano ya kombe la dunia yanayoendelea nchini humo. Hii ni baada ya mechi ya kwanza ya mkondo wa mtoano kati yake na Chile kumalizika kwa...

Muimbaji wa Nigeria atoa bikira yake kwa Boko Haram

  Mwanamuziki, muigizaji na balozi wa amani wa Umoja wa Mataifa Adokiye amesema yuko tayari kutoa bikira yake kwa Boko Haram ili wawaachie wasichana waliowateka nyara. Mwimbaji wa pop wa nchini Nigeria na balozi wa amani ametuma maoni ya kushtusha kwenye mtandao wa kijamii kwa kudai...

Ada vyuo vya ualimu yapanda maradufu

Serikali imepandisha maradufu ada kwa wanafunzi wanaosomea ualimu kwenye vyuo vya ualimu nchini kuanzia muhula ujao wa masomo. Ada hizo kwa wale wa ngazi za cheti na stashahada ambazo zimeongezwa kwa karibu mara mbili au zaidi ya zile zilizokuwa zikilipwa awali. Uamuzi huo ambao huenda...

Saturday, 28 June 2014

Maximo kuinoa Yanga kwa miaka miwili

Kocha mpya wa klabu ya Yanga Maxio Maximo. Maximo alikuwa kocha wa zamani wa timu ya taifa Taifa Stars. Aliyekuwa kocha wa Timu ya Taifa ya hapa nchini Maxio Maximo kutoka Brazil amepata fursa ya kurudi tena hapa nchini, kuja kuisuka vyema timu ya Yanga ili iweze kucheza katika michuano...

Maradona-‘FIFA wanapaswa kumtupa Suarez Guantanamo’

Suarez akishika meno yake kuangalia yapo auyametoka baada ya kumng’ata mlinzi wa Italia Giorgio Chiellini wakati Uruguay ilipokuwa inamenyana na Italia kwenye mashindano ya Kombe la Dunia 2014, Brazil. Diego Maradona ameponda adhabu ya Fifa dhidi ya mshambuliaji Luis Suarez aliyemuita...

Coco Beach-Marufuku kufanya biashara na kuegesha magari

Tangazo la kuwazuia watu wanaofanya biashara na kuegesha magari kwenye eneo la Coco Beach. Halmashauri ya manispaa ya Ilala imetoa tangazo linaloagizo kukataza watu kufanya biashara na kuegesha magari katika eneo la Coco Beach. Tangazo hilo ambalo limewekwa kwa mtindo wa bango katika eneo...

Uingereza yaomba ruhusa ya jeshi lake

Wanajeshi wa Uingereza Uingereza imesema kuwa inafanya mazungumzo na kenya ili kutatua mzozo kuhusu mafunzo ya wanajeshi wa Uingereza nchini humo. Serikali ya Kenya inaaminika kuchelewa kuwaruhusu wanajeshi zaidi wa Uingereza kuingia nchini humo ili kufanya mazoezi. ...

Barcelona inataka kumsajili Suarez licha ya adhabu kali aliyopewa.

Licha ya kukabiliwa na marufuku ya FIFA ya miezi minne kwa kumng'ata mlinzi wa Italia Giorgio Chiellini Barcelona ya Uhispania haijakata tamaa ya kumsajili mshambulizi machachari wa wa Uruguay Luiz Suarez. Mshambulizi huyo...