Facebook

Monday 23 June 2014

Majina ya wanafunzi watakaojiunga kidato cha tano na Vyuo mbalimbali 2014 haya hapa !

Kulia Naibu Waziri wa Tamisemi Kasimu Majaliwa akitoa taarifa ya kuteuliwa kwa wanafunzi wa kidato cha tano kushoto ni Benard Makali Mkurugenzi anayeshuhulikia Elimu kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Tamisemi.
Kulia Naibu Waziri wa Tamisemi Kasimu Majaliwa akitoa taarifa ya kuteuliwa kwa wanafunzi wa kidato cha tano kushoto ni Benard Makali ,Mkurugenzi anayeshuhulikia Elimu kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu Tamisemi.
Jumla ya wanafunzi wapatao 235,227 wa kidato cha nne mwaka 2013 sawa na asilimia 58.21 ya watahiniwa wote wamefaulu kujiunga na kidato cha tano pamoja na vyuo mbalimbali vya serikali, matokeo hayo yanaonesha kiwango cha ufaulu kimepanda kwa asilimia 15.13.

Naibu Waziri wa Tamisemi, Kasim Majaliwa, alisema kuwa takwimu zinaonesha kumekuwa na ongezeko la ufaulu kwa wahitimu wa kijitegemea kutoka 26,193 sawa na asilimia 43.07 mwaka 2012 hadi kufikia watahiniwa 34,075 sawa na asilimia 66.21 kwa mwaka 2013 kwa kulinganisha na mwaka 2012 lipo ongezeko la asilimia 30.09.
Majaliwa alifafanua kuwa ufaulu kwa mwaka 2013 katika daraja kwanza hadi la tatu umefikia watahiniwa 71,527 sawa na asilimia 20.28 ya watahiniwa waliofanya mtihani Tanzania Bara, hivyo kuna ongezeko la ufaulu wa asilimia 106.73 ikilinganishwa na matokeo ya ufaulu mwaka 2012.
Uteuzi huo wa ufaulu wa wanafunzi wa kujiunga kidato cha tano umefanyika kwa kutumia kompyuta kwa kuzingatia machaguo ya wanafunzi pamoja na ufaulu, hivyo hapatakuwa na mabadiliko, pia wanafunzi wote wametakiwa kuripoti shuleni tarehe 10 Juni mwaka huu.
Wanafunzi ambao watashindwa kuripoti shuleni hadi tarehe 30 Juni mwaka huu nafasi zao zitajazwa na wanafunzi ambao wamekosa nafasi.

MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA 
KIDATO CHA TANO MWAKA 2014
Wasichana --- Shule Zote
Wavulana --- Majina ya Shule A Mpaka L
Wavulana --- Majina ya Shule M mpaka Z
MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA 
NA VYUO VYA UFUNDI MWAKA 2014
ARUSHA TECHNICAL COLLEGE (ATC)
WASICHANA
WAVULANA
AUTOMOTIVE ENGINEERING AUTOMOTIVE ENGINEERING
CIVIL ENGINEERING CIVIL ENGINEERING
ELECTRICAL ENGINEERING ELECTRICAL ENGINEERING
HIGHWAY ENGINEERING HIGHWAY ENGINEERING
LABORATORY TECHNOLOGY LABORATORY TECHNOLOGY
MECHANICAL ENGINEERING MECHANICAL ENGINEERING
TELECOMMUNICATION ENGINEERING TELECOMMUNICATION ENGINEERING
DAR-ES-SALAAM INSTITUTE OF TECHNOLOGY
 (DIT)
WASICHANA
WAVULANA
BIO MEDICAL EQUIPMENT ENGINEERING BIO MEDICAL EQUIPMENT ENGINEERING
CIVIL ENGINEERING CIVIL ENGINEERING
COMPUTER TECHNOLOGY COMPUTER TECHNOLOGY
ELECTRICAL ENGINEERING ELECTRICAL ENGINEERING
LABORATORY TECHNOLOGY LABORATORY TECHNOLOGY
MECHANICAL ENGINEERING MECHANICAL ENGINEERING
MINE ENGINEERING MINE ENGINEERING
TELECOMMUNICATION ENGINEERING TELECOMMUNICATION ENGINEERING
WATER DEVELOPMENT & MANAGEMENT INSTITUTE 
( WDMI) - DAR ES SALAAM
WASICHANA
WAVULANA
CIVIL ENGINEERING CIVIL ENGINEERING
LABORATORY TECHNOLOGY LABORATORY TECHNOLOGY
WATER RESOURCES ENGINEERING WATER RESOURCES ENGINEERING
MBEYA INSTITUTE OF TECHNOLOGY (MIST)
WASICHANA
WAVULANA
ARCHITECTURAL ENGINEERING ARCHITECTURAL ENGINEERING
CIVIL ENGINEERING CIVIL ENGINEERING
COMPUTER TECHNOLOGY COMPUTER TECHNOLOGY
ELECTRICAL ENGINEERING ELECTRICAL ENGINEERING
LABORATORY TECHNOLOGY LABORATORY TECHNOLOGY
MECHANICAL ENGINEERING MECHANICAL ENGINEERING
 Imeandaliwa na.....
                               Katemi Methsela        



Tumehamia katika site hii mpya na bado tuko katika maboresho,hii ni katika hatua za awali kabisa kuiboresha site yetu na utoaji wa habari na burudani.Vitu vingi vitaonekana katika site hii mpya hivi karibuni.Endelea kutembelea www.bantutz.com

0 comments:

Post a Comment