Klabu
ya AC Milan imeonyesha kuvutiwa na Samuel Eto’o hivyo inajiandaa
kupeleka ofa kwa mshambuliaji huyo raia wa Cameroon ili kuweza
kumsainisha ndani ya San Siro.
Fiorentina nao wameonyesha kumuhitaji nyota huyo wakitaka kumpa mkataba wa mwaka mmoja na ofa ya Euro milioni 2 kwa msimu wakati Eto’o akisema anataka mkataba wa miaka miwili huku Juventus nao wakionyesha nia ya kutaka kumsajili mchezaji huyo aliyekuwa akiitumikia klabu ya Chelsea msimu uliopita.

Imeandaliwa na.....
~Katemi Methsela
Endelea kutembelea www.bantutz.com
uweze kupata taarifa na tetesi zote za usajili wa wachezaji barani
Ulaya.Jukumu letu ni kukuhabarisha punde tunapopata hhabari yoyote kwa
muda na wakati muafaka.
0 comments:
Post a Comment