Facebook

Wednesday, 25 June 2014

Robin Van Persie "Nitamkumbuka daima Nemanja Vidic"

 Photo: NITAMKUMBUKA DAIMA. 
Robin Van Persie amefunguka ni jinsi gani anampenda na kumkubali Nemanja Vidic. Akihojiwa kutoka kwenye mazoezi ya timu ya taifa,aliuambia mtandao wa ManUtd.com kuwa; 

-Nemanja nimekuwa naye karibu sana kwa miaka 2 ya hivi karibuni. 
 
-Kama mchezaji,Newanja anaweza kuweka kichwa chake sehemu ambayo wachezaji wengine wanashindwa kupeleka miguu yao. 

-Wakati mwingine anaruka kuzuia mpira. Nilikuwa shahidi wa hilo,niliogopa anaweza kuumia vibaya lakini unaweza kumwona kasimama anapiga kelele kwetu.(kimoyomoyo) najiuliza huyu ni mtu wa aina gani? 

-(Anacheka) Nemanja alinifanyia uhuni kipindi niko Arsenal. Nakumbuka Eboue alipiga krosi nzuri sana lakini Nemanja aliokoa ule mpira kwa mkono bila mwamuzi kuona. Nilishuhudia,unaweza sema kapiga kichwa. Mara nyingi alipenda kunitoa mchezoni kwa kunigongagonga na kunichezea vibaya. Ukimwangalia usoni utamwona anatabasamu. 

-Jinsi anavyozuia na jinsi anavyoishi maisha yake ni ajabu. Nitamkumbuka sana hata Manchester United watamkumbuka sana. Nawaonea wivu Inter Milan kuwa naye kwa miaka ijayo. Hawatajutia kumpata Nemanja. Beki bora wa dunia.

via-Ayo's
 

Robin Van Persie amefunguka ni jinsi gani anampenda na kumkubali Nemanja Vidic. Akihojiwa kutoka kwenye mazoezi ya timu ya taifa,aliuambia mtandao wa ManUtd.com kuwa;

Nemanja nimekuwa naye karibu sana kwa miaka 2 ya hivi karibuni.

Kama mchezaji,Newanja anaweza kuweka kichwa chake sehemu ambayo wachezaji wengine wanashindwa kupeleka miguu yao.

Wakati mwingine anaruka kuzuia mpira. Nilikuwa shahidi wa hilo,niliogopa anaweza kuumia vibaya lakini unaweza kumwona kasimama anapiga kelele kwetu.(kimoyomoyo) najiuliza huyu ni mtu wa aina gani?

(Anacheka) Nemanja alinifanyia uhuni kipindi niko Arsenal. Nakumbuka Eboue alipiga krosi nzuri sana lakini Nemanja aliokoa ule mpira kwa mkono bila mwamuzi kuona. Nilishuhudia,unaweza sema kapiga kichwa. Mara nyingi alipenda kunitoa mchezoni kwa kunigongagonga na kunichezea vibaya. Ukimwangalia usoni utamwona anatabasamu.

Jinsi anavyozuia na jinsi anavyoishi maisha yake ni ajabu. Nitamkumbuka sana hata Manchester United watamkumbuka sana. Nawaonea wivu Inter Milan kuwa naye kwa miaka ijayo. Hawatajutia kumpata Nemanja. Beki bora wa dunia.

Tumehamia katika site hii mpya na bado tuko katika maboresho,hii ni katika hatua za awali kabisa kuiboresha site yetu na utoaji wa habari na burudani.Vitu vingi vitaonekana katika site hii mpya hivi karibuni.Endelea kutembelea www.bantutz.com

0 comments:

Post a Comment