Facebook

Friday, 27 June 2014

Luke Shaw mchezaji rasmi wa Manchetser United.

 Photo: Manchester United has completed the signing of Luke Shaw from Southampton on a four-year contract, with an option for a further year. "I am looking forward to learning from the world-class players and management at the club," he said. Read more: http://bit.ly/1yUkBHv
Luke Shaw amefaulu vipimo vya afya. Rasmi mchezaji mpya wa Manchester United. Paund ml 27 kama kianzio kisha Manchester United kumalizia Paund mil 7 zingine na kufika Paund mil 34 kulingana na mafanikio yake.
      Luke Shaw amesaini mkataba wa miaka 5 na kuwa mchezaji wa pili kusajiliwa na Manchester United baada ya kusajiliwa kwa Ander Hererra hapo jana kutoka klabu ya Athletico Bilbao.
           Photo: Karibu sana Manchester United Luke Shaw.
        Man Utd wanaonekana msimu huu wako makini katika suala la usajili kwani tayari wameshatuma dau la Paundi million 30 ili kumsajili kiungo(Versatile Midfielder) Artul Vidal kutoka Juventus,huku Juventus wakionekana wako tayari kumruhusu kiungo huyo kujiunga na mashetani wekundu. 
Photo: Luke Shaw afauru vipimo vya afya. Rasmi mchezaji mpya wa Manchester United. Paund ml 27 kama kianzio kisha Manchester United kumalizia Paund mil 7 zingine na kufika Paund mil 34 kulingana na mafanikio yake.

#GGMU 

=/ D.P /= 

Imeandaliwa na....
                              ~Katemi Methsela

SOURCES:SKY SPORTS
                 BBC SPORTS
                 manutd.com

Endelea kutembelea www.bantutz.com uweze kupata taarifa mbalimbali zinazohusiana na usajili kwa muda na wakati muafaka.Hatutachelewa kukuletea habari yoyote pindi tutakapoipata jukumu lako ni kutembelea mara kwa mara mtandao huu kupata habari kwa wakati.

0 comments:

Post a Comment