Sunday, 22 June 2014
Wema Sepetu aumia baada ya Mama yake kudhalilishwa...
by
@wemasepetu "Dah...! Sijui hata niseme nini...! Ila si mlitaka
kuniumiza... leo mmefanikiwa... nawapeni hongera.... Tena mmetisha
haswa... Kila sjku huwa hata siumizwi na
matusi yenu cuz naonaga kama ni mnajisumbua tu... Hakuna siku nimelia
kwa uchungu kama leo... I min mnitukane mimi mpaka mchoke but leave my
mum out of it... Kawakosea nini nyinyi mama angu mpaka mfanye hivyo...
Mzazi nwenyewe ndo nimebakia nae mmoja tu... mnataka afe na yeye nibaki
yatima sio... dah... leo mmeniweza... saana jamani... Basi naomba
isifike huko... nina uchungu sana na mama angu ... nampenda sana mama
angu ila naona mnataka kuniulia mama angu... Picha halisi ndo hio hapo
juu kweli mtu uende ukamfanyie hivyo mama wa mwenzako... una mama wewe..
au uliokotwa na hujui uchungu wa mama... dah... nime surrender leo....
hongera zenu narudia tena... mmeniweza leo.... dah... Mungu nipe nguvu
ktk hili jamani... Kwani nilichokikosea haswa ni kitu gani mpaka iwe
hivi . Nimekosa nini mimi yarabi toba.... Eeeh mungu... Dah... Ila
nashkuru..
0 comments:
Post a Comment