Karibu
 vyombo vingi vya habari vimeripoti kuwa Manchester United na klabu ya 
Feyernood vimefikia makubaliano ya kumsajili beki wa kati Stefan de Vrij
 kwa thamani ya Paund mil 8.. Beki huyo nguzo kwa timu ya taifa ya 
uholanzi kwa sasa anashiriki fainali za 
kombe la dunia na uhenda akajiunga kwa miamba hiyo ya Uingereza hasa 
baada ya Louis Van Gaal kucheza mchezo mchafu kumkwapua baada ya taarifa
 za awali kudai beki uyo alikua akijiandaa kuelekea kunamo klabu ya 
Lazio. 
 
Pia vyombo vya habari nchini Italy na Chile vimeripoti kuwa Manchester United wanajiandaa kumtengenezea Artulo Vidal mshahara wa Paund 230,000 kwa week, huku Arsenal Wenger naye akituma wawakilishi wake kuweza kumpata kiungo uyo mahiri wa club ya Juventus.

Endelea kutembelea www.bantutz.com kupata habari na tetesi za usajili barani ulaya kwa wakati na muda muafaka.
 
0 comments:
Post a Comment