
Tetesi za soka Ulaya
Barcelona hawamtaki tena beki wa Porto Eliaquim Mangala, lakini Chelsea na Manchester United bado wanamfuatilia (Daily Star),
Barcelona hawamtaki tena beki wa Porto Eliaquim Mangala, lakini Chelsea na Manchester United bado wanamfuatilia (Daily Star),
Manchester United
 wapo tayari kutoa pauni milioni 6 kumsajili kiungo wa AC Milan Nigel de 
Jong (Tuttosport), 
Carlos Vela hatorejea
 Arsenal na amesaini mkataba mpya Real Sociedad (Daily Express),
 Tottenham wanajiandaa kutoa pauni milioni 5 kumsajili Divock Origi 
mwenye asili ya Kenya anayechezea Lille ya Ufaransa (Daily Mail), 
West 
Brom wanajipanga kumnyatia Victor Moses wa Chelsea baada ya kushindwa 
kuonesha cheche zake Liverpool (Sun),
 Barcelona wameweka dau la pauni 
milioni 68 kumsajili Luis Suarez kutoka Liverpool (Bild)
 Manchester 
United na Tottenham wanamgombea Memphis Depay au "Cristiano Ronaldo 
mpya" anayechezea PSV Eindhoven (Bild),
 Straika wa Monaco Radamel Falcao
 amekataa kwenda, Chelsea, Manchester City na Tottenham na anataka 
kwenda Real Madrid (AS),
 Real Madrid wapo tayari kuwauza Angel Di Maria,
 Sami Khedira na Fabio Coentrao iwapo timu zitatoa bei nzuri (Marca).
 Tetesi nyingine kesho tukijaaliwa.
0 comments:
Post a Comment