Tuesday, 24 June 2014
Dude afiwa na mama yake mzazi!
Mwigizaji Kulwa Kikumba maafuru kama (Dude), msanii wa bongo movies,amepata pigo kubwa baada ya kufiwa na mama yake mzazi asubuhi ya leo jijini Dar es salaam taarifa zimetufikia.
Katika ujumbe wake ambao ameutuma kwa wadau wake, msanii huyo ameandika
“Ndugu zangu wapendwa, nimefiwa na mamaangu mzazi niliyempenda kuliko mtu yeyote kwenye dunia hii, leo . Inna Lillah waa inna illah rajiun”
Taratibu za mazishi zinafanywa na familia ya Marehemu na tutaendelea kwajulisha hapa hapa utaratibu wa mazishi.
Mungu ampe nguvu ya kuweza kusimama imara katika wakati huu mgumu kwake na familia yake kwa ujumla
(Pichani ni msanii huyo akiwa kwenye gari akimpeleka mama yake hospitalini kwa matibabu, kumbe mama huyu tayari alishakuwa ameiaga dunia)
Pole sana kaka Dude!
Related Posts:
Unaijua sababu iliyomfanya Diamond kupiga chini show Uingereza ? Fuatilia hapa ! Wakati diamond akiwa anasubiriwa kwa hamu sana huko nchini uingereza, alipokuwa anatarajia kushusha bonge la show kali ya kihistoria usiku wa jumamosi at the rugby 7s after party, na baada ya muda ilisemek… Read More
Davido hatiani kwa hili kosa alilolifanya........!! Anaitwa Davido Adeleke lakini kwenye muziki tunamjua kama Davido na yeye anajitambulisha na a.k.a yake maarufu Omo Baba Olowo (O.B.O).Labda tatizo linalomkuta Davido ndilo lile lile kama kwa Chris Brown na Justi… Read More
Master Jay:Maproducer Tunanyonywa Sana hata sisi tunapenda maisha mazuri Mtayarishaji mkongwe wa muziki Tanzania, Master J ameeleza sababu zinazopelekea watayarishaji wa muziki nchini kutofanikiwa kama wasanii wanaowatengenezea muziki kuwa hutokana na mgawanyo usio sawa wa kipato. Ma… Read More
Kanda ya Jay-Z akichapwa yazua hasira Mitandao ya kijamii imewaka moto kufuatia kanda ya video iliyozuka ikionyesha dadake mwanamuziki wa kimataifa Beyonce Knowles , Solange Knowles akimchapa makonde mwanamuzi… Read More
Jumba La Tony Montana Aliyeigizwa Kwenye Filamu Ya Scarface Laingizwa Sokoni. Jumba alilofia mfanya biashara wa dawa za kulevya maarufa kama Tony Montana na baadae kuchezewa filamu ya maisha yake iliyoitwa Scarface yaingizwa sokoni. Juma hili linaloitwa La casa grande linauzwa dola mi… Read More
0 comments:
Post a Comment