Kocha wa ti u ya ligi kuu ya Uingereza Arsenal,Arsene Wenger amekutwa akiwa katika fukwe huko Brazil akijirusha baada ya Ligi kuu ya Uingereza kuisha wakijiandaa na msimu ujao.Huku yeye akiwa nchini Brazili kufuatilia michuano ya kombe la dunia.
Zifuatazo ni picha za matukio mbalimbali amabayo kocha huyo wa washika bunduki wa London alionekana akila raha katika fukwe tulivu na safi huko Brazil.
Arsene Wenger akiruka "Kichwa Samaki" kama lile goli la alilolifunga Robin Van Persie "Diving Header" dhidi ya Hispania,Arsene Wenger alipiga kichwa hicho wakati akicheza mchezo wa Volleyball katika fukwe huko Brazil
Imeandaliwa na......
~Katemi Methsela
Tumehamia
katika site hii mpya na bado tuko katika maboresho,hii ni katika hatua za awali
kabisa kuiboresha site yetu na utoaji wa habari na burudani.Vitu vingi
vitaonekana katika site hii mpya hivi karibuni.Endelea kutembelea www.bantutz.com
0 comments:
Post a Comment