Facebook

Monday, 30 June 2014

Wenger akana kumsajili Mario Balotelli.

 
 Photo: Wenger, akionekqna kwenye televisheni ya beIN Sport's World Cup show, aliulizwa na Ruud Gullit kama anamnunua straika wa zamani wa Manchester City Mario Balotelli, na jibu lake likawa: 'Hapana. Hapana, Hiyo imetungwa.

'Hatuwezi kuamini vyote kwenye mitandao na magazeti.

'Kuna wakati tetesi hizi hutengenezwa na majenti ama waandishi ili kupata habari, si kweli.'

Milan bado wanahaha kutafuta mnunuzi wa straika huyo mwenye miaka 23 tu.

Balotelli, Arsenal hakuna dili hilo. Habari hii ni nzuri ama mbaya kwako
Wenger, akionekqna kwenye televisheni ya beIN Sport's World Cup show, aliulizwa na Ruud Gullit kama anamnunua straika wa zamani wa Manchester City Mario Balotelli, na jibu lake likawa: 'Hapana. Hapana, Hiyo imetungwa.

'Hatuwezi kuamini vyote kwenye mitandao na magazeti.

'Kuna wakati tetesi hizi hutengenezwa na majenti ama waandishi ili kupata habari, si kweli.'

Milan bado wanahaha kutafuta mnunuzi wa straika huyo mwenye miaka 23 tu.

Balotelli, Arsenal hakuna dili hilo. Habari hii ni nzuri ama mbaya kwako

Related Posts:

  • Neymar aiomba Barca kumuongeza mkataba Dani Alves. Inaonekana Dani Alves anaweza kuondoka Barcelona mara mkataba wake ukiisha msimu huu.Lakini mchezaji mwenzake Neymar ameomba apewe nafasi ya kubaki Nou Camp.Makubaliano kati ya Alves na Barcelona hayajakamilika,Mbrazil huyo … Read More
  • Falcao akubali kutua Chelsea.Kama BantuTz tulivyo ripoti hapo mwanzoni kwamba mama yake Falcao alisema kwamba mwanae hana furaha ndani ya Manchester united. Kwa hiyo lazima alikua anatarajiwa kuondoka Old Trafford baada ya msimu kuisha. Habari ikufikie k… Read More
  • Van Gaal amafungia kazi kiungo SchweinsteigerMchezaji nyota wa Bayern Munich Bastian Schweinsteiger anabaki chaguo namba moja la timu ya Manchester United kwa nafasi ya kiungo msimu huu.Lakini United wapo tayari kumpata mchezaji kiungo wa Southampton Morgan Schneide… Read More
  • Arsenal yamtengea dau Kondogbia.Hakuna timu ambayo ipo nyuma kupata wachezaji wazuri kwa ajili ya msimu ujao. Ukikaa nyuma muda wa usajili maisha hayatakua mazuri muda wa msimu ujao. Arsenal inakomaa kumpata mchezaji Kondogbia ambae pia anatakiwa na Inter m… Read More
  • Benitez atambulishwa rasmi Real Madrid.  Rafael Benitez ametambulishwa rasmi kama meneja mpya wa Real Madrid. Akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari amesema: "Hii ni ngumu, kutakiwa kuzungumza, lakini sijui niseme nini," amesema meneja huyo wa zama… Read More

0 comments:

Post a Comment