
Saturday, 28 June 2014
Safari nzima ya michuano ya kombe la dunia Brazil hii hapa

Related Posts:
Uingereza yaondolewa Brazil Uingereza imebanduliwa nje ya kombe la dunia Brazil. Uingereza wameondolewa kutoka kombe la dunia la mwaka huu huko Brazil baada ya raundi ya kwanza, k… Read More
Nigeria 1-0 Bosnia,Yapata ushindi wa kwanza baada ya miaka 16 Nigeria ilisajilia ushindi wake wa kwanza katika kombe la dunia katika kipindi cha miaka 16 ilipoilaza Bosnia-Hercegovina 1-0 katika mechi yao ya p… Read More
Yaya na Kolo Toure wafiwa na mdogo wao, Ibrahim Nyota wa Ivory Coast Yaya na Kolo Toure wametaarifiwa kuhusu kifo cha mdogo wao wakati wakiwa kwenye Kombe la Dunia nchini Brazil. Ibrahim Toure alifariki siku ya Alhamisi mjini Manchester, akiwa na umri wa … Read More
Ecuador yailaza Honduras 2-1 Ecuador 2-1 Honduras Ecuador ilitoka nyuma na kubana Honduras mabao (2-1), katika mchuano wa kundi E, wa kombe la dunia uliochezwa katika uwanja wa Arena da Baixada huko Curitiba. Equador ilikua imeshindwa mabao… Read More
Argentina yatinga raundi ya pill Mfungaji bao la Argentina ,Lionel Messi Lionel Messi alifunga bao la pekee na la ushindi katika dakika ya mwisho ya mechi baina ya Argentina na Iran ya kundi G. Mechi hii ilikuwa na kila dalili ya kuishia sare tasa … Read More
0 comments:
Post a Comment