Facebook

Tuesday, 24 June 2014

Majambazi yaua mtumishi na kujeruhi Ubungo.

 

Alikuwa anapeleka pesa bank alikuwa kwenye gari dogo aina ya Corolla . Walipofika maeneo ya msikitini ndipo wakavamiwa na hao watu wawili waliokuwa kwenye pikipiki wakapiga risasi kwa nyuma ya gari ikampata sister kwenye kichwa na nyingine ikampata Dereva kwenye kidole gumba kikachambuka kama mchicha. 
 
  Risasi nyingine ikapigwa hewani watu wakaanza kukimbia ndipo wale majambazi wakaingia ndani ya ile gari ndogo na kuchukua pochi ya sister.
     Ila walibugi stepu maana pesa hazikua kwenye pochi zilikua kwe gari. Mungu ailaze pema roho ya sister na Dereva apone haraka ili arudi kazini salama.
                                           AMENI
Tumehamia katika site hii mpya na bado tuko katika maboresho,hii ni katika hatua za awali kabisa kuiboresha site yetu na utoaji wa habari na burudani.Vitu vingi vitaonekana katika site hii mpya hivi karibuni.Endelea kutembelea www.bantutz.com

0 comments:

Post a Comment