Chelsea
watapaswa kupunguza ada ya uhamisho wa Romelu Lukaku kutoka pauni
milioni 20 kufuatia kiwango alichonyesha mshambuliaji huyo kwenye kombe
la dunia akiwa na Ubelgiji.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 anafukuziwa pia na klabu kutoka katika ligi kuu ya Uingereza ambazo ni Everton na Tottenham.
Lukaku tangu amesajiliwa katika klabu hiyo ya Stamford Bridge amekuwa akipelekwa kwa mkopo katika klabu mbalimbali za Uingereza.

Imeandaliwa na.....
Katemi Methsela
Endelea kutembelea www.bantutz.com uweze kupata taarifa na tetesi zote zinazohusiana na usajili barani Ulaya kwa muda na wakati muafaka katika kipindi hiki cha Usajili barani Ulaya.
0 comments:
Post a Comment