Memphis Depay afuzu vipimo vya afya Old Trafford.Memphis Depay amekamilisha vipimo vya afya Old Trafford siku ya jana Jumatatu. Kwa mujibu wa tovuti ya Man Utd, klabu hiyo sasa itashughulikia kukamilisha usajili wakati dirisha la usajili la kimataifa litakapofunguliwa mwezi…Read More
Niyonzima akubali kuongeza mkataba Yanga.Harouna Niyonzima amekubaliana kimsingi na Yanga kusaini mkataba
mpya na club hiyo kwa muda wa miaka 2. Bado hajasaini makaratasi
lakini makubaliano yameshafanyika kati ya pande mbili.
…Read More
0 comments:
Post a Comment