Askari wamezingira kituo cha utangazaji cha serikali nchini Burundi baada ya afisa wa jeshi kutangaza kuipindua serikali ya Rais Piere Nkurunziza wa Burundi.
Meja Jenerali Godefroid Niyombare ametoa taarifa kupitia moja ya kituo cha Radio cha Isanganiro akisema serikali ya Nkurunziza imevunjwa.
Wednesday, 13 May 2015
Jeshi la Burundi lampindua Rais Pierre Nkurunziza.
Related Posts:
Waziri wa usalama Kenya "apigwa chini"Rais Uhuru Kenyatta amemwachisha kazi waziri wa usalama Joseph Ole Lenku na kumpendekeza waziri mpya wa usalama Joseph Nkaiseri kuchukua nafasi hio. Wakati huohuo mkuu wa polisi nchini Kenya inspekta generali David Kimaiyo am… Read More
Duka lawabagua wateja wazawa China.Duka moja la nguo mjini Beijing China limezua mjadala nchini humo baada ya kuweka maelezo yanayopiwapiga marufuku wateja wake raia wa Uchina. Duka hilo limehusishwa katika mgogoro wa ubaguzi wa rangi baada ya kuweka maelezo y… Read More
Bi harusi wa miaka 14 ampa sumu mumeweBi harusi wa miaka 14 nchini Nigeria ameshtakiwa kwa kuwaua watu wanne akiwemo mumewe wa miaka 35 baada ya kuweka sumu ya panya katika chakula alichoandaa kwa sherehe za haruysi yake. Kesi hiyo imewashangaza wahaharakati wa h… Read More
BantuTz MAGAZETINI:-SOMA KILICHOANDIKWA KATIKA MAGAZETI YOTE YA LEO DESEMBA 3 BantuTz MAGAZETI:Ni miongoni mwa huduma bora kabisa tunazozitoa ili wewe mdau wa Bantu usipitwe na habari,stori au taarifa yoyote ile.Tunakuletea kila tunachokipata kwa wakati na muda muafaka.Soma kilich… Read More
BantuTz MAGAZINE-Soma kilichoandikwa katika Magazeti ya leo Novemba 28. BantuTz MAGAZETI:Ni miongoni mwa huduma bora kabisa tunazozitoa ili wewe mdau wa Bantu usipitwe na habari,stori au taarifa yoyote ile.Tunakuletea kila tunachokipata kwa wakati na muda muafaka.Soma kilichoandikwa kati… Read More
0 comments:
Post a Comment