Facebook

Tuesday, 12 May 2015

Mrisho Ngassa asaini rasmi mkataba wa miaka minne "4" klabu ya Free state.

Aliyekua mshambuliaji hatari wa klabu bingwa ya Ligi kuu ya Vodacom Msimu huu,Yanga SC ambaye pia ni mshambuliaji wa timu ya taifa ya Tanzania Mrisho Khalfan Ngassa amejiunga rasmi na klabu inayoshiriki Ligi Kuu ya Nchini Afrika Kusini,Free State kwa mkataba wa miaka minne.

Ni hatua kubwa kwa nyota wetu hapa Tanzania kwa kufunguliwa njia za mafanikio huku tukisubiri dili la mchezaji hatari msimu huu wa wana-Jangwani Simon Msuva linaloweza kukamilika muda wowote kuanzia hivi sasa.

Related Posts:

  • Ivanovic 'kutupiwa virago' Chelsea.Kocha Jose Mourinho ameagiza watu wake wa 'scouting' kutafuta mtu ambae atachukua nafasi ya Ivanovic kutokana na jinsi kiwango chake kiivyoshuka kwenye mechi za karibuni Chelsea. Kwa muda mrefu Ivanovic alikua ni mchezaji wa … Read More
  • Wakala "Ozil anaweza kuondoka mwishoni mwa msimu huu"Dr Erkut Söğüt ambae ni wakala wa Mesut Ozil ametoa maneno ambayo yamewashtua watu wengi labda hasa mashabiki wa Arsenal. Wakala huyo akiongea na vyombo vya habari vya Uturuki alizungumzia uwezekano wa mchezaji… Read More
  • Falcao kutua Darajani Mchezaji Radamel Falcao anayecheza kwa mkopo Old Trafford anataka kubaki kucheza Premier League. Mcolombia huyo ameshindwa kuishawishi Manchester United kumnunua jumla. Falcao amefunga magoli manne tu Old Trafford, mchez… Read More
  • Mamadou Sakho aongeza mkataba Liverpool.Mamadou Sakho amemwaga wino na kuongeza mkatana mkataba utakaomfanya aendelee kubaki Liverpool hadi 2020. … Read More
  • Raheem Sterling kuelekea Man United.   Mshambuliaji wa Liverpool Raheem Sterling huenda akaelekea katika kilabu ya Manchester United ,hatahivyo mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 20 ana wasiwasi kuhusu athari za uhamisho huo hususan kutokana na ushinda… Read More

0 comments:

Post a Comment