Saturday, 17 May 2014
Huyu Ndio Mpenzi wa Hashim Thabit Aliye Zaa Nae.
Mtanzania anayecheza mpira wa kikapu katika timu kubwa ya ‘Thunder aka OKC’ katika jijini la
Oklahoma, Marekani Hasheem Thabeet aka Hasheem The Dream wiki sita zilizopita amepata mtoto wa kiume(Baby Boy) aliyezaa na msichana wa kimarekani anafahamika kwa jina la Bee Anderson alias Love Queen
0 comments:
Post a Comment